mmmmmmh........ ya kweli haya? ......

mmmmmmh........ ya kweli haya? ......

kwenye avatar yako, hapo v inapoishia/inapoanzia panaitwa ndumandu, nilipokuwa chuo kuna room mate wangu flan alikuwa nayo kubwa hakunaga he hee afu anavaa suruali za kupa-bana zaidi. Alikuwa analalamika sana kuwa kila anaekuja mbele yake lazima amuangalie sana maeneo ya ndumandu.
Unanikumbusha chuo kila nikipaangalia
 
Mpaka unafikia hali hiyo hapo unakuwa unasubiri nini kwa mfano mwanaume mzima????????
 
Tehe tehe imekaa poa sana.Ila zenji nikinyume chake jogoo ananenepa mtetea anakonda.
 
389756_386374364738074_100000965403866_1038031_1948996155_n.jpg

Hahahahahah lol! Hilo Jogoo lililonona haliko single hilo ni married labda linataka kuchangamkia nyumba ndogo ndio maana likaamua kuficha status yake ya kweli LOL!...Huoni mama anavyolitunza kwa makaangizo ya misosi bab kubwa limejaza katika kila kiungo.
 
Hahahahaa Smile ikija kwa binadamu ni vice versa bana..mwanamke akiwa single anashine sana akiolewa mmh hamna wa kumwambia "za saa hizi" mwanaume akioa ndo anapendeza kwa sababu ya matunzo ya mke,kila kitu anafanyiwa yeye ni kwenda kazini tu..
 
Last edited by a moderator:
nimekukosea ninin@fazaa

Hakuna ulicho nikosea mawazo yako tu yanakutuma kushakia kama nina ugomvi na wewe.

Swali langu ni very simple, vipi ufananishe hao kuku/jogoo kwa watu walio owa na wasio owa.

Yani hujioni kama una matatizo flani ya akili.
 
Nimeshindwa kujizuia na kujikuta naangua kicheko,umefikiria nini kwa swali hili..??
Nimefikiria kikubwa vipi atufananishe sisi tulio owa kama jogoo yule...yani tulio owa tumekuwa tunakasoro au!
 
kuna ka ukwel fulani though si kwa asilimia zote
 
hahahaaa Smile umevunja mbavu zangu nimecheka sana.
Sio ndoa zote ziko hivyo bana.
 
Last edited by a moderator:
hii kali naona neema kwa wakina mama balaa kwa wakina baba
 
Back
Top Bottom