mmmmmmh........ ya kweli haya? ......

mmmmmmh........ ya kweli haya? ......

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
389756_386374364738074_100000965403866_1038031_1948996155_n.jpg
 
teee teeheh teeeteeh...hiyo ya brown naona ni zenji lol
 
smile ...namaanisha visiwani wanaodai talaka 3 lol...anaona ya nini afie ndani?

Unamaanisha mwanaume anamfuata mkewe anamwambia; 'mke wangu naomba nikupe talaka3'?
 
Aisee,bishanga hatii neno hapa asijeambiwa ni antimarriage,kumbe he is just being realistic na ndomana wadhungu wanasema...you chase a woman until SHE catches you,walikuwa na maana.
 
Duuu hiii kali nimecheka mpaka basi .....
Haya mambo huwa yanatokea sana Smile, ila si kwa kila ndoa. Tupo wenye ndoa zetu ambao tunakula bata tu kila siku, hakuna kukonda wala kujuta, ni kuenjoy maisha!
 
Hahahahahahaaaaaaaa!!! Cms mausiano yanakupa headache, Mifano mpaka ya kuku !!!
 
Duuu! Km kwa kuku ni hivyo kwa m2 inakuaje?Mtatufanya ambao bado hatuja oa tuache kabisa'
 
duuu hiii kali nimecheka mpaka basi .....
Haya mambo huwa yanatokea sana smile, ila si kwa kila ndoa. Tupo wenye ndoa zetu ambao tunakula bata tu kila siku, hakuna kukonda wala kujuta, ni kuenjoy maisha!
ndoa kumbe sio nzuri kwa wanaume eeh?
 
Smile you have made my day!
 
Last edited by a moderator:
Hivi we smile ulipo kuwa mtoto uliwahi kuangukia kichwa ukatoka ngewe hivi afu wakakushona...mana unakasoro flani kwenye kichwa chako.
 
Ingekua mtu kila anapozini anatoka kitundu wengine mngekua kama neti humu

Smile wewe hata neti huenda ni nafuu .......................yaani umenikosha kabisa...........wanaumme ndani ya ndoa huachwa majeruhi lakin mdada yeye ndiye hupendeza....................................what a choice?
 
Last edited by a moderator:
Smile wewe hata neti huenda ni nafuu .......................yaani umenikosha kabisa...........wanaumme ndani ya ndoa huachwa majeruhi lakin mdada yeye ndiye hupendeza....................................what a choice?
eheheeee
 
Hivi we smile ulipo kuwa mtoto uliwahi kuangukia kichwa ukatoka ngewe hivi afu wakakushona...mana unakasoro flani kwenye kichwa chako.

Nimeshindwa kujizuia na kujikuta naangua kicheko,umefikiria nini kwa swali hili..??
 
Back
Top Bottom