shegacool2015
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 394
- 133
Haingekua rahisi kufungua mlango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Police wengi ni majambazi.....
kwenye shida ndio mnawakumbuka polisi?? Lakn hao ndio tunawau,tunawaita njaa kali,tunawaita mbwa tunawadharau kama hatujui wapo kwa ajili ya nn..... Mm naomba polis walegeze kamba ili ijujlikane mwanaume ni nani na mwanamke ni nan?? Viva majambaz pigen kaz mjin hakuna kizuiz polis wamekata tamaa na mambo wanayofanyiwa na serikali na wananchi. Wapo kwenye mgomo wa kimya
Watu waliokuwa wanatumia pikipiki wamempiga risasi mtu mmoja aliyekuwa kwenye gari na kumpora begi na kisha kutokomea na pikipiki yao.
Mtu huyo amepigwa risasi na kufariki papo hapo.
inauma sana
Natamani pikipiki zitolewe kabisa mjini na zikionekana zipigwe risasi
majambazi halali wenye sare za kazi...
usisahau na maonyesho ya kikosi cha mbwa na farasi uwanjani siku za sikukuu za kitaifa.Inasikitisha sana polisi wao kazi yao kukamata machinga tu, pale mataa polisi wana kibanda chao lakini hawana msaada wowote.
inashughulika na chadema na ukawa tu, nadhani muda umefika tuliunde upya jeshi la polisi liwe linawafanyia wananchi wote kaziInasikitisha sana polisi wao kazi yao kukamata machinga tu, pale mataa polisi wana kibanda chao lakini hawana msaada wowote.
Watu waliokuwa wanatumia pikipiki wamempiga risasi mtu mmoja aliyekuwa kwenye gari na kumpora begi na kisha kutokomea na pikipiki yao.
Mtu huyo amepigwa risasi na kufariki papo hapo.
inauma sana
Natamani pikipiki zitolewe kabisa mjini na zikionekana zipigwe risasi
Hizi bodaboda wamezilea mpaka zinaleta shida......
sasa ni nini kutoana roho hivi hivi?
Dah aliacha vioo wazi? Tatizo sio piki piki mbona nchi zote kuna hizo mtrbikes? Just police hawafanyi kazi yao
Dah aliacha vioo wazi? Tatizo sio piki piki mbona nchi zote kuna hizo mtrbikes? Just police hawafanyi kazi yao