Butola
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 2,290
- 758
ni gharana kiasi gani utaingia kama ukiamua kuomba askari ili wakusindikize? si zaidi ya elfu hamsini na unakuwa na ulinzi wa uhakika. huu ujinga mwingine wa kuangalia faida tuu bila kutaka matumiziz mazao yake ndo hayo
Bahati mbaya siku hizi polisi kwenyewe huko kuna majambazi kibao, ile unaenda tu kutoa taarifa polisi huyo uliyempa taarifa anawataarifu majambazi wenzake au majambazi wake wakae mkao wa kazi.