Mmoja kati yao ataanza kupata kazi unajua kwa nini?

Mmoja kati yao ataanza kupata kazi unajua kwa nini?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Wamemaliza chuo siku moja na kuhitimu lakini mmoja kati yao ataanza kupata kazi na wengine kubaki wakisubiri unajua kwa nini,

Tazama picha[emoji116][emoji116]
IMG_20190408_140041_951.JPG


Cc Zero IQ
 
Unategemeana na Aina ya ajira. Kama ajira ni ya bar maid actually aliyeacha mtindi wazi ataajiriwa Kwa wepec n kama ajira inamtaka MTU smart an wise aliye jistiri atapata ajira mapema kwani muonekano wa mtu unasadifu how much smart and wise he/she is.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom