nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Tahadhari kwenu, kuelekea ''new world order''
Baadhi ya viongozi tayari wameshapokea masharti ya namna ya kuiongoza Tanzania kutoka kwa wenye nchi.
Sharti jipya ni kuhalalisha ushoga tanzania pamoja na ndoa za jinsia moja.
Kazi kwenu wapiga kura. Mwenye uelekeo huo hata wewe unamjua.