Mmoja wa watangaza nia ataleta ushoga

Mmoja wa watangaza nia ataleta ushoga

wale walitwambia tukubali miswada ya ushoga tukakata wakatoa hela zao kusaidia bodi ya mikopo, kwani haujui wanafadhili chama gani.

dah, asante kwa kunikumbusha, nilishasahauuu
 
Tena kiongozi wao yupo hukohuko ulaya kutiliana sahihi na chama kimojawapo kinachounga mkono ushoga kipindi cha nyuma aliwahi kuojiwa na kipindi cha radio nchini marekani kinachosapoti ushoga.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Arusha. Yaani Magoma ana dalili zote. Nadhani hata hicho cheo alipewa kwa sababu hiyo
wewe sheria yako imeishatungwa mpaka tarehe ya leo ulivyotukana tayari wewe ni mtuhumiwa ngoja iwe released na mimi nitahakikisha mmojawapo wa wanyea debe ni wewe.
mnatuharibia jina wachangiaji wa mitandao ya kijamii kwa ujuha wenu....kama umetoka kubangaiza na imetoka kavu basi nakushauri uwe unaenda nyumbani na kujilaza alafu unahesabu mistari ya bati.:becky:
 
Ukianza kupiga vita hii post utakuja shangaa ushoga uko mlangoni mwako.
Unless na wewe ni stakeholder kwenye hiyo agenda.
Hii ni ishu ya msingi kuizungumzia mapema sana ili tuwajue mapemaaaaaaaaaa
JamiiForums is where we dare to talk openly, nadhan mtoa post angesema ni sera zipi au za chama gani au mgombea gani ni kuleta ushoga TZ... but kwa post kama hii :confused2::confused2: and we are calling ourselves great thinkers? really??
 
JamiiForums is where we dare to talk openly, nadhan mtoa post angesema ni sera zipi au za chama gani au mgombea gani ni kuleta ushoga TZ... but kwa post kama hii :confused2::confused2: and we are calling ourselves great thinkers? really??

Of course hii post haijajitosheleza ila pia mtoa mada ame hint something very important that demands a close attention especially at such a time where such topic is getting hot on the table particularly in the continent we are in.
We have to include such issues as a point to be reckoned with in our country.
A favourable platform to do that is during candidates debate.
 
Topic za majungu zisizo na fact wala refence ni propaganda za kijinga zilizoshehenezwa majungu na uzishi wa kipumbabu.

Hii mada nimojawapo ya uzushi na upumbavu wa wajinga.
 
Ushoga upo mbona,labda kuidhinisha ndo bado,labda ungesema ataruhusu ushoga sio kuuleta.
 
Back
Top Bottom