Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Nilipata jimama likaninyang'anya simu, suruali akailoweka kwenye Omo nikawa nimebakiwa na boxer tu siwezi kutoka nje
duh, halijakuvunja mifupa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipata jimama likaninyang'anya simu, suruali akailoweka kwenye Omo nikawa nimebakiwa na boxer tu siwezi kutoka nje
Dah!! Kamanda sijui ulikuwa mitaa ipi umemkosaapiia....aluuu moyo wangu umegonga thrice at a second
lol halaf skujua kama Kaizer ana nguvu za kuweka kreti nne full mgongoni halaf akaondoka na mbio za mjomba messiLol.....utamfanya ADI akalale sasa hivi
hahahaha.... Siijui nimeanza vipi kukuchokaza.... Huna habari kua ni Kimey ndie alimbebesha?? lol Yaani Sweetie hata taarifa alikua hana.
Honey! tangu uondoke hata nguvu za kutongoza zimeniishia. jinzi zote zinanipwaya honey! pliz fanya urudi honey!
Miss u darling
Dah!! Kamanda sijui ulikuwa mitaa ipi umemkosa
Mkuu mbona unataja ofisi za Uporoto? pale CHIBUKU , Uporoto anaitwa Mugabe. kulaleki!vipi kaka kumbe ile kazi yako ya pale CHIBUKU uliipata naona unaongelea makreti tu saa hizi
yeah... and I am having a blast..... but i have only one challenge
View attachment 39248
we acha tuWell pal it seems you are in trouble here.... Lets see... Between
mmmh! I would choose expensive... after all kama you really like it - it is worth it!!! lol (thou immoral nayo hushika hatamu..lol)
- illegal
- Immoral
- Fattening
- Expensive
- Impossible....
Daah! balaa!ahaaaaaaaaaaaaaaaa... kumbe wewe ndie ulikua unaniharibia, ok ngoja nitafakari
lol halaf skujua kama Kaizer ana nguvu za kuweka kreti nne full mgongoni halaf akaondoka na mbio za mjomba messi
ADI wewe ulikuwa sehem ya wadada bana! sasa ulionaje nani kaondoka na kreti? uskute Kaizer aliondoka na shati la Kimey pia halaf wewe ukadhani Kaizer alikuwa Kimey
Mkuu mbona unataja ofisi za Uporoto? pale CHIBUKU , Uporoto anaitwa Mugabe. kulaleki!
we acha tu
Illegal... we can try to legalize it
Immoral... is subjective (especially in africa)
Fattening... i dont mind, i am already there
Expensive.... but its worth it
Impossible??? Now this is my problem coz there are no parameters to quanlify this statement or at least password to unlock it
Cousin what it dowe acha tu
Illegal... we can try to legalize it
Immoral... is subjective (especially in africa)
Fattening... i dont mind, i am already there
Expensive.... but its worth it
Impossible??? Now this is my problem coz there are no parameters to quanlify this statement or at least password to unlock it
Sasa mbona tangu TF ameleta hizi habari mkuu Kaizer hatumuoni kujibu hzi tuhma? halaf pia msisahau kuna mtu kaondoka na aftershave yangu kwenye party, na nasuspect sana ni TF au babu aspirini.Khaaa!! Klorokwini taratibu... it is my MAN you are talking of bana! lol Dah! kreti 4?? Of coz ni mwanaume wa kweli hata 50 anaweza beba(ila hizo hakubeba); Hivi Kloro unategemea na Mapenzi yoote haya juu yake naweza mfananisha na mwingine?? hata avae nguo ya mtu mwingine i can tell kua it is/not him.... C'mon!! lol
Sasa mbona tangu TF ameleta hizi habari mkuu Kaizer hatumuoni kujibu hzi tuhma? halaf pia msisahau kuna mtu kaondoka na aftershave yangu kwenye party, na nasuspect sana ni TF au babu aspirini.
Hapo ndo tutaanza kumuona Husninyo anavaa wigi, si uliskia kuwa Husninyo kachumbiwa na Uporoto? (hela ya mahari nilimkopesha mimi)gademu! natena nasikia wanataka kuanzisha kinywaji kingine kitacho itwa jina lake.....UPOROTO PREMIUM LAGER
Khaaaa!! Tokea lini ukatumia aftershave wakati huwa unaoga kwa kutumia majani ya mpapaiSasa mbona tangu TF ameleta hizi habari mkuu Kaizer hatumuoni kujibu hzi tuhma? halaf pia msisahau kuna mtu kaondoka na aftershave yangu kwenye party, na nasuspect sana ni TF au babu aspirini.
hapo ndo tutaanza kumuona husninyo anavaa wigi, si uliskia kuwa husninyo kachumbiwa na uporoto? (hela ya mahari nilimkopesha mimi)
hahaah ADI bana! hivi Kaizer karejesha zile kreti?