"MMU Misses you Sooo Much"

Lol.....utamfanya ADI akalale sasa hivi
lol halaf skujua kama Kaizer ana nguvu za kuweka kreti nne full mgongoni halaf akaondoka na mbio za mjomba messi

hahahaha.... Siijui nimeanza vipi kukuchokaza.... Huna habari kua ni Kimey ndie alimbebesha?? lol Yaani Sweetie hata taarifa alikua hana.

ADI wewe ulikuwa sehem ya wadada bana! sasa ulionaje nani kaondoka na kreti? uskute Kaizer aliondoka na shati la Kimey pia halaf wewe ukadhani Kaizer alikuwa Kimey
 
Honey! tangu uondoke hata nguvu za kutongoza zimeniishia. jinzi zote zinanipwaya honey! pliz fanya urudi honey!
Miss u darling

ahaaaaaaaaaaaaaaaa... kumbe wewe ndie ulikua unaniharibia, ok ngoja nitafakari
 
Attachments

  • valentines_day_emoticon.jpg
    5.8 KB · Views: 19
yeah... and I am having a blast..... but i have only one challenge
View attachment 39248

Well pal it seems you are in trouble here.... Lets see... Between
  • illegal
  • Immoral
  • Fattening
  • Expensive
  • Impossible....
mmmh! I would choose expensive... after all kama you really like it - it is worth it!!! lol (thou immoral nayo hushika hatamu..lol)
 
we acha tu

Illegal... we can try to legalize it
Immoral... is subjective (especially in africa)
Fattening... i dont mind, i am already there
Expensive.... but its worth it
Impossible??? Now this is my problem coz there are no parameters to quanlify this statement or at least password to unlock it
 
Khaaa!! Klorokwini taratibu... it is my MAN you are talking of bana! lol Dah! kreti 4?? Of coz ni mwanaume wa kweli hata 50 anaweza beba(ila hizo hakubeba); Hivi Kloro unategemea na Mapenzi yoote haya juu yake naweza mfananisha na mwingine?? hata avae nguo ya mtu mwingine i can tell kua it is/not him.... C'mon!! lol
 
Dah! I love the above mtazamo.... from your analysis i choose "immoral" lol maana definition ya kitu immoral yaweza kua dynamic....lol
 
Cousin what it do
 
Sasa mbona tangu TF ameleta hizi habari mkuu Kaizer hatumuoni kujibu hzi tuhma? halaf pia msisahau kuna mtu kaondoka na aftershave yangu kwenye party, na nasuspect sana ni TF au babu aspirini.
 
Hebu msiniambie mmekula raha ya kimey halafu nimeikosa................ itabidi nikija nimpige faini kimey kwa kuharakaisha naniliu
 
Sasa mbona tangu TF ameleta hizi habari mkuu Kaizer hatumuoni kujibu hzi tuhma? halaf pia msisahau kuna mtu kaondoka na aftershave yangu kwenye party, na nasuspect sana ni TF au babu aspirini.

Namleta in a minute.... Usiwe na wasi Kloro....lol
 
gademu! natena nasikia wanataka kuanzisha kinywaji kingine kitacho itwa jina lake.....UPOROTO PREMIUM LAGER
Hapo ndo tutaanza kumuona Husninyo anavaa wigi, si uliskia kuwa Husninyo kachumbiwa na Uporoto? (hela ya mahari nilimkopesha mimi)
 
Sasa mbona tangu TF ameleta hizi habari mkuu Kaizer hatumuoni kujibu hzi tuhma? halaf pia msisahau kuna mtu kaondoka na aftershave yangu kwenye party, na nasuspect sana ni TF au babu aspirini.
Khaaaa!! Tokea lini ukatumia aftershave wakati huwa unaoga kwa kutumia majani ya mpapai
 
hapo ndo tutaanza kumuona husninyo anavaa wigi, si uliskia kuwa husninyo kachumbiwa na uporoto? (hela ya mahari nilimkopesha mimi)

halafu wigi lenyewe la blonde na vile alivyo mweusi ka.......na lipustiki nyekunduuuuu.....mahali ndo yule ng'ombe shoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…