Ashadii, thanks kwa kutukumbuka mamii!..You're so kind🙂))
Majukumu tele ila sijambo na mzima wa afya. Hope nawewe uko salama kabisa!!
Maybe if we make some NOISE watakuja... Hopefully
Kaka mi nina karibia wiki tangu nirudi.... ulipotelea wapi??Daaah . . . too late but not over!!
Habari ndugu zangu?
Kaka mi nina karibia wiki tangu nirudi.... ulipotelea wapi??
Daaah . . . too late but not over!!
Habari ndugu zangu?