"MMU Misses you Sooo Much"

mi Eiyer tu jamni
 
Mbu we umewamiss wadada tu!? Lol

Am missing them too, maty, Carmel, WoS!

...mnh, soulmate jamani...hahaha...!
wakaka wote wapo hapa,....esp BAK nimemuona leo...na hata maswahiba kina teamo, kaizer,
mtm, aspirin, the finest na klorokwini wapo sana tu...! mstaafu Dark City jana nilimuona...
labda RR tu ndio kidogo kaadimika sasa....
 
Mkuu mwambie MJ1 to forget the bite, we'll sing for her
 
Reactions: Mbu
Belinda J, Dinnah plus this lady called Nemo..........me miss them much!! Very very very very much!!!!!!
 
smiles ametoweka sana AD,nina wasiwasi na hizi multiple ID's zinatupotezea Id tulizozizoea



Kitu gani kinamfanya mtu aje na ID nyingine na kutekeleza completely ile alozoea... yaani kweli haina maana naona... Sijui lakini mayb sielewi...
 


Ni kweli... BAK angekuwepo katika hiio list... fortunately karudi karibuni nae....
 
Uuuhhh... Da Asha nipo jamani, Pole kwa kunimiss.. Majukumu yalinizidi.. ila nipo sijambo bukheir kwa afya njema..
 
Uuuhhh... Da Asha nipo jamani, Pole kwa kunimiss.. Majukumu yalinizidi.. ila nipo sijambo bukheir kwa afya njema..


Mayasa THANK YOU very much kwa feedback bana... Tunawa Miss saana.. Uwe unachungulia kidogo bana.... Nafurahi kua ni mzima wa afya na yaelekea yoote kheri huko..... Best of Luck Mpenzi katika shughuli zako huko....
 
Belinda J, Dinnah plus this lady called Nemo..........me miss them much!! Very very very very much!!!!!!


Hawa woote Wamepotea kweli yaani... Huyu Nemo hugusa gusa tu thou briefly at least hutoa hope kua she is well.... Napenda angle za yule dada... Ila BelindaJacob... I really wish i could see her jamani...
 
Lizzy jamani please come back to us, tangu aanzishe jf yake kule yaani katumwaga sana huku ila namchunguliaga kulekule kwake
 
Hawa woote Wamepotea kweli yaani... Huyu Nemo hugusa gusa tu thou briefly at least hutoa hope kua she is well.... Napenda angle za yule dada... Ila BelindaJacob... I really wish i could see her jamani...
Napenda nemo anavombana mtu kwenye kona na hoja zake lol
 
Susy Susy Susy Susy the one and the only one nakumissssssssssoooooooooo!!!!!!!!
 
Mie Nimem-miss AfroDenzi jamani, sijamuona tangu tutoke Birthday Party tarehe 7, pale Peacock Hotel.
Plz say something, Afro D, Me missed u
 
Ohhhh dear! Nimeguswa na upendo kutoKa moyoni. Mimi ni mtu wa mwisho kabisa kuweza kufikiri kwamba ungenikumbuka. Asante sana kwa kuweka tabasamu usoni kwangu na kuifanya wikiendi yangu iishe kwa furaha.

Nipo mpendwa wangu na ni mzima afya. Niliamua kupumzika kidogo kiofisi na nikasafiri nyanda za juu kupata kibaridi kidogo. Nimerejea na tayari kuanza mzigo kuanzia kesho.

Asante kwa kunikumbuka, asante kwa kunijali. Nakupenda.
 
Hakuna hisia tamu kama kujua kuna mtu mahali fulani anakufikiria na amekukosa sana. Mi binafsi nimefarijika sana na uzi huu uliorushwa kwa ajili yetu. Nimejisikia kupendwa na kuthaminiwa. Nimejisikia kama sehemu ya hii familia njema ya jf.

Nakuombea heri mdada na Mungu akuongezee upendo. Natamani nikufahamu kwa ukaribu zaidi mpendwa wangu. Uwe na jioni njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…