"MMU Misses you Sooo Much"

"MMU Misses you Sooo Much"

Habari wana JF...

Ni wazi kua we have got lives beyond hapa JF.... Na ni wazi kua majukumu ni mengi katika jamii ambayo kwa kweli mara nyingi ndio first priorities katika maisha yetu kuliko hata hapa Jamvini... However inapotokea kua Members ambao ni wanafamilia wa hapa MMU wamepotea kitambo... Kuna baadhi ya members hasa sie wanafamilia wa MMU (Mfano mimi) hutokea kwamba Tumewa MISS.... Nyie watu (wanafamilia ya MMU) Popote kule mlipo msitegemee kukaa kwenu kimya basi na rohoni na akilini kwetu hampo!!! ACHENI kutesa mioyo yetu na agalau mtutembelee walau hata post moja tu kwa Week kuhakikisha kua kweli ni wazima wa Afya na kwamba Mwaendelea vizuri... Hivo basi naomba nitaje baadhi ya ambao nimewakumbuka kwa mda huu.... Wale ambao nimesahau kutaja naomba fellow members tukumbushane... Walau waelewe kua We REALLY MISS THEM..... (At lease I do...)

  1. Michelle
  2. Eiyer
  3. Gaga (I kno u ar fine but jamvini sijakuona mda)
  4. Stevie Dii
  5. Mestod
  6. Bacha
  7. CPU
  8. Lizzy
  9. Gagurito
  10. Manumbu
  11. Pearl
  12. Belinda Jacob
  13. Magulumalu
  14. Mentor
  15. First Lady
  16. Zion Daghter
  17. Maty (simuoni kabisa naona tu likes...lol)
  18. Dinnah
  19. Kbd
  20. Rev Masanilo
  21. Cheusi Mangala (thou she is back)
  22. Okada
  23. Elia
  24. Sharohiphop
  25. Aisha Adam
  26. Samora10
  27. Vikwazo
  28. The Dirty Paka
  29. Madabwada
  30. KonaKali
  31. Mayassa
  32. Kaka Mpendwa
  33. Fixed Point (thank God tumemuona)

Naamini ni wengi na wengine nimewasahau... Ama siwafahamu tokana na Ukweli kua MMU haijaanza juzi... I repeat Members wengine tutasaidiana kukumbushana (kwa wataopenda)

(This Post has been written with Lots of Love.....)

Pamoja Saana

AshaDii.

Kbd says thank you for this useful sredi
 
Mie Nimem-miss AfroDenzi jamani, sijamuona tangu tutoke Birthday Party tarehe 7, pale Peacock Hotel.
Plz say something, Afro D, Me missed u

Yaani nisingemuona Afro D kwenye thread ya msiba ya Black Woman pale "habari na hoja mchanganyiko" angekuwepo katika hii list... I think kabanwa but atleast yeye kaonekana siku za karibuni....
 
Hawa woote Wamepotea kweli yaani... Huyu Nemo hugusa gusa tu thou briefly at least hutoa hope kua she is well.... Napenda angle za yule dada... Ila BelindaJacob... I really wish i could see her jamani...

Nemo hiyo tabia yake ya kuchungulia huwa natamani hata nimshike mkono jamani though kuna shughuli zake flani alinambia nahisi ndo zinamuweka busy!! Dah! Ila huyu bidada Bj ndo funga kazi sijui kajichimbia wapi aiseee! Dinnah nae alitia sahihi tu kwenye topic ya ma'swagga then akachikichia! Yaani hizi figure tatu hizi........!
 
Ohhhh dear! Nimeguswa na upendo kutoKa moyoni. Mimi ni mtu wa mwisho kabisa kuweza kufikiri kwamba ungenikumbuka. Asante sana kwa kuweka tabasamu usoni kwangu na kuifanya wikiendi yangu iishe kwa furaha.

Nipo mpendwa wangu na ni mzima afya. Niliamua kupumzika kidogo kiofisi na nikasafiri nyanda za juu kupata kibaridi kidogo. Nimerejea na tayari kuanza mzigo kuanzia kesho.

Asante kwa kunikumbuka, asante kwa kunijali. Nakupenda.

Hakuna hisia tamu kama kujua kuna mtu mahali fulani anakufikiria na amekukosa sana. Mi binafsi nimefarijika sana na uzi huu uliorushwa kwa ajili yetu. Nimejisikia kupendwa na kuthaminiwa. Nimejisikia kama sehemu ya hii familia njema ya jf.

Nakuombea heri mdada na Mungu akuongezee upendo. Natamani nikufahamu kwa ukaribu zaidi mpendwa wangu. Uwe na jioni njema.

Kbd mara nyingi kila stage ya maisha ambayo binadamu hufika anakua kakutana na watu mbali mbali ambao wamecheza roles mbali mbali either directly or indirectly kukufanya wewe/mimi kua kama tulivo. Hivo basi ni muhimu kukumbukana... Na hapa JF hasa MMU twaishi kama familia... another life thou kwa Keyboard... huku tukiendesha na maisha yetu huku ya mtaani. IMO sio haki wala busara kumsahau mtu just because hayupo na hali siku zoote mlikua mnajumuika nae.... haipendezi, aweza kua anaumwa, matatizo ama hata kafariki... hivo tukitajana once in a while walau tunapata jibu kama wewe ulivofanya hapa. Asante Kwa Feed back; Ubarikiwe saana.

Pamoja Saana
ADI.
 
Nemo hiyo tabia yake ya kuchungulia huwa natamani hata nimshike mkono jamani though kuna shughuli zake flani alinambia nahisi ndo zinamuweka busy!! Dah! Ila huyu bidada Bj ndo funga kazi sijui kajichimbia wapi aiseee! Dinnah nae alitia sahihi tu kwenye topic ya ma'swagga then akachikichia! Yaani hizi figure tatu hizi........!

Angalau hao wawili i believe they are well and good... ila mtu anipe taarifa za BJ.... I miss those provocative lips jamani.... Kipipi kwako nime miss ile avatar..
 
Napenda nemo anavombana mtu kwenye kona na hoja zake lol

We acha tu yaani Nemo huwa ananipangia points hadi mi mwenyewe nakubali!! Neeemooooo plizz come back, I REALLY MISS YOU!!! AshaDii naomba ruhusa ya kulia manake hisia zimenizidi nguvu mamy!
 
We acha tu yaani Nemo huwa ananipangia points hadi mi mwenyewe nakubali!! Neeemooooo plizz come back, I REALLY MISS YOU!!! AshaDii naomba ruhusa ya kulia manake hisia zimenizidi nguvu mamy!

Unaruhusiwa kabisa kulia.... Mie mwenzio nalia moyoni...
 
Kwa kweli gaga,michelle na gagurito nao nawamiss sana pamoja na kwamba mko bize mtukumbule humu, mie ingalau natokea mara mojamoja
 
B' Naomba introduction... who exactly is Susy??

Asha umemsahau Susy? Kuna siku alieleza the tragedy of her life jinsi alivyoteseka baaada ya kufiwa na parents, tukalia humu mmu,siku nyingine akapata msiba wa dadake tukaomboleza humu mmu?
 
Kwa kweli gaga,michelle na gagurito nao nawamiss sana pamoja na kwamba mko bize mtukumbule humu, mie ingalau natokea mara mojamoja

Afadhali umeongeza nguvu mpenzi... kwakweli hata wewe Black Berry ni adimu saana.... Sema tu walau unachungulia mara kwa mara hio inatufanya members tujue u-buheri wa afya... Nimefurahi kukuona.
 
Afadhali umeongeza nguvu mpenzi... kwakweli hata wewe Black Berry ni adimu saana.... Sema tu walau unachungulia mara kwa mara hio inatufanya members tujue u-buheri wa afya... Nimefurahi kukuona.
Ai jamani mie nipo ashadii sana tu sema naingia usiku sana hasa lileee jukwaa fulani hivi
 
Angalau hao wawili i believe they are well and good... ila mtu anipe taarifa za BJ.... I miss those provocative lips jamani.... Kipipi kwako nime miss ile avatar..

Ila kwakweli Bj, amekuwa so much kimya jamani, kweli tungepata angalau newz zake ingekua heri zaidi!! Hahahaaa ADI nawe husahau?? Utanisamehe sweetie, the avatar is dead and gone siwezi irudisha tena. Naomba ujilazimishe kuisahau!
 
Asha umemsahau Susy? Kuna siku alieleza the tragedy of her life jinsi alivyoteseka baaada ya kufiwa na parents, tukalia humu mmu,siku nyingine akapata msiba wa dadake tukaomboleza humu mmu?

B' are you sure nililkuwepo??
 
Ai jamani mie nipo ashadii sana tu sema naingia usiku sana hasa lileee jukwaa fulani hivi

hahahaha!! THANK YOU For making me laugh... kweli BB walau wee hua unagusa...
 
Napita tuu hapa maana niliowamiss ni wengi ila kwa leo napita tuu nitarudi i
 
Back
Top Bottom