MMU Mmenisaidia kuandika Script ya Ukweli

MMU Mmenisaidia kuandika Script ya Ukweli

Katika hiyo dedikesheni, usisahau kumtaja Babu mpenda maujiko Asprin a.k.a ODM. Vinginevyo haitauza sana.

Kila la kheri.

Soulmate asinisahau na mimi Gaga, mamaa wa mashauzi kama yule muimba taarab

kweli JF burudani watu wamepinda lol...
Naomba na mie asisahau kuniweka kwenye script yake kama beki tatu
 
halafu kwenye cover gonga muhuri wa 100 kuthibitisha yaliyomo yamekamilika kwa asilimia zote.mia
 
Naomba nitafutiwe scene yangu na Blaki Womani peke yetu, scene hii isiingiliane na scene ya Gaga na Asprin.

Hivi Director wa movie atakuwa nani tena???
 
Soulmate............ una lengo la kuniliza wivu siyo?
hakuna kunakuwa kuna sheria kali, na hakuna mtu kugusa kitanda cha opposite sex, ukivunja sheria mnatolewa
sikulizi bwana
 
Naomba nitafutiwe scene yangu na Blaki Womani peke yetu, scene hii isiingiliane na scene ya Gaga na Asprin.

Hivi Director wa movie atakuwa nani tena???
director1 yupo humuhumu atawafaa sana
 
Back
Top Bottom