MMU special offer

MMU special offer

Lol......


:lol::lol::eyebrows:


Unajua hizi PM huwa zinachanganyikiwa saa zingine unaweza kushtukia badala ya kuja kwako imeenda kwa PAW au imeenda kwenye ki-button cha REPORT ABUSE, masaa mawili tukutane Holiday Inn


Hayaaa.....Bishanga
watu wengine bana,mi namtafutia mke mwema Husninyo yeye anakimbilia kwa Bebii mke wa mtu,utajiju harrrrooo.
 
Bebii mjanja...Anataka kuwachunguza wakaka wa JF bila taarifa.Kwa picha atajua nani anaonekana vipi ...MVUTO MUHIMU.Kwa CV atajua nani amesoma mpaka daraja lipi...KISOMO MUHIMU na UMRI.Barua atajua uwezo wako wa kujieleza na experience....UJANJA MUHIMU.Akishajua hayo anarudi kwenye ile list ya waliotupa ndoano kuangalia nano anakidhi vigezo na nani hakidhi vigezo.LOLZ..
oooh!!!! sasa bebii my dear ukisha fanya soting,nitumie hayo ma cv na mapicha na mm nijitaftie wakwangu!!
 
oooh!!!! Sasa bebii my dear ukisha fanya soting,nitumie hayo ma cv na mapicha na mm nijitaftie wakwangu!!
achana na lizzy huyo amekosa watalii wa kukaba uko unga ltd na gongo za matejoo zinamchanganya
 
Mimi nitakuja la late application,

Najua kwa vile unatupenda basi utakuwa fexible!!

Nitatuma kabla ya kulala!

Babu DC!
 
Back
Top Bottom