watu wengine bana,mi namtafutia mke mwema Husninyo yeye anakimbilia kwa Bebii mke wa mtu,utajiju harrrrooo.Lol......
:lol::lol::eyebrows:
Unajua hizi PM huwa zinachanganyikiwa saa zingine unaweza kushtukia badala ya kuja kwako imeenda kwa PAW au imeenda kwenye ki-button cha REPORT ABUSE, masaa mawili tukutane Holiday Inn
Hayaaa.....Bishanga
aiyaaa????????? Mbona unanitafutia ban we mwanamke mwenzangu ? Una maana gani kuniuliza ivyo?
oooh!!!! sasa bebii my dear ukisha fanya soting,nitumie hayo ma cv na mapicha na mm nijitaftie wakwangu!!Bebii mjanja...Anataka kuwachunguza wakaka wa JF bila taarifa.Kwa picha atajua nani anaonekana vipi ...MVUTO MUHIMU.Kwa CV atajua nani amesoma mpaka daraja lipi...KISOMO MUHIMU na UMRI.Barua atajua uwezo wako wa kujieleza na experience....UJANJA MUHIMU.Akishajua hayo anarudi kwenye ile list ya waliotupa ndoano kuangalia nano anakidhi vigezo na nani hakidhi vigezo.LOLZ..