Hivi ile ya Gazeti la Udaku ilikuwa jukwaa gani?
Mie ile ndo thread yangu ya mwaka
Yarabiiiiiiiiiiiiii Tobaaaaa......ujue unani disturb maana niko bize nauandaa,huo ni special kwa wakware wa mmu wakiongozwa na TF,Fidel na Bujibuji.
Ile ndo funga mwaka ya kweli, hakuna wa kuipikuHivi ile ya Gazeti la Udaku ilikuwa jukwaa gani?
Mie ile ndo thread yangu ya mwaka
Ulivonambia umeokoka nilijua wamaanisha...lol. Kumbe ulikuwa likizo.kwani uongo?
Vuta subra
Hahahahaha....khaa!:hat:mimi ni ule wa Aspirin:'sisi wanaume bana'Lakini hiyo haizuii Aspirin kutuangushia'sisi ndo wanaume bana,part2'.