MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Ukitaka kumtongoza mke wa mtu .... anza kwa kumnunulia zawadi ndogo ndogo kama chocolate, perfume, maua ... alaf nunua underpants umpe when u want to leave with her old underpants after having a gr8 gr8 sex. Nawasilisha
we Six we,mke wa mtu unampelekea tena maua na perfume? du! wala usijaribu mtabambwa kwa spidi ya upepo,we subiri nitakurushia mbinu.
 
Mimi yangu 'mjue mwanaume anayekupenda kwa dhati'. Ila kwa wadada tu. Lol.
Afu wewe mdada nakutafuta, hakikisha tunaonana kabla ya x'mass nkukabidhi lile gauni lako, fundi keshamaliza kushona...amekuwekea kola nyeupe na mikanda...
 
mmmmhhhh ndo atavaa kitchen party yake? Maana nasikia mtu flan hivi memba humu(jina kapuni maana na wewe SL anakuhusu) kaamua kuvuta jumla.Hongera Husn nakutakia ndoa njema yenye mafanikio,mzae mjaze dunia.
 
Hahaha...

ninong'oneze basi...hakuna wa kumuoa husn zaidi ya uporoto..
 
we nae,lini nilikwambia nimeokoka?
We nae, toka umpate Eliza wa Tegeta matendo yako yamebadilika ghafla, ulianza kuwa mtu mwema!

Afu ahadi ni deni ujue, uliniahidi kunipeleka vekesheni, sasa mbona kimya tena?
 
Hahaha...

ninong'oneze basi...hakuna wa kumuoa husn zaidi ya uporoto..
uporoto alipigwa kibuti longtime kisa alifilisika,si unajua Husn alivyo mtu wa matanuzi? Nikunong'oneze?unamjua bana.
 
Changamka bishanga, mie nasubiri hizo mbinu. Na ole wake atakayezitumia kwangu, nitamuonyesha printout na atabaki mdomo wazi.

Mwanamume anayetumia mbinu za kutongoza kutoka jf hafai.
 
Khaaa! Hivi kumbe eeh? Ndio mana uporoto amesusa kuingia jf kabisa...

Husn mbaya asee anachuna kwa uporoto anakula na TF...
 
Awali ya yote niwashukuru kwa michango yenu na kuwatakia kipindi chema cha kumalizia mwaka.
Ombi kwa wadau wa mmu:
Hebu jikunjeni hapa mmwage uzi mzito wa kufungia mwaka yaani uwe pasua kichwa mpaka wachangiaji vichwa vichemke.
Mimi naandaa wa kwangu,title:
'Ukitaka kutongoza mke wa mtu tumia mbinu hizi'.

hahahahaha..... Habari yako B'

Mie naandaa jinsi gani ya "kumtega mwanaume ulomdondokea aingie line na kukutongoza akifikiri yeye ndio kaanza" lol

BTW ni kwa wanawake sio tips za kutumiwa na wanaume....
 
We nae, toka umpate Eliza wa Tegeta matendo yako yamebadilika ghafla, ulianza kuwa mtu mwema!

Afu ahadi ni deni ujue, uliniahidi kunipeleka vekesheni, sasa mbona kimya tena?

Eliza wa tegeta nshampiga chini,mshari mno bana.
Vekesheni? Tena kweli, mwaka mpya unataka kwenda wapi Perth? Sanya island? Monte carlo principe de monaco? Rio? (kuna bonge la beach),Pataya? (huko ni ma party tu,Tenerife? (beautiful island),Antigua? Cyprus (kuzuri sana na kisha cheap),au unataka kutembelea majiji makubwa kama London,NY,Paris ,Berlin?
Nambie dear nifanye booking,mi ndo Bishanga bana!
 
Changamka bishanga, mie nasubiri hizo mbinu. Na ole wake atakayezitumia kwangu, nitamuonyesha printout na atabaki mdomo wazi.

Mwanamume anayetumia mbinu za kutongoza kutoka jf hafai.
si watakariri?kwanza nahisi Aspirin anaandaa notibuku.
 
Khaaa! Hivi kumbe eeh? Ndio mana uporoto amesusa kuingia jf kabisa...

Husn mbaya asee anachuna kwa uporoto anakula na TF...
halafu ukizingatia TF ndo wale wale wanaume ka madem hadi condom wanunuliwe,yani mi Husn namshangaa kabisa sijui anampendea nini huyu mkware.
 
Mie uzi wangu wa mwaka ni wa Introduction to jf

Jinsi gani new mwmber atabreak thru old members na kukubalika.
 
hahahahaha..... Habari yako B'

Mie naandaa jinsi gani ya "kumtega mwanaume ulomdondokea aingie line na kukutongoza akifikiri yeye ndio kaanza" lol

BTW ni kwa wanawake sio tips za kutumiwa na wanaume....
hujambo Asha,za siku?
Mmmmmmmhhhhh hapo tutaingia mkenge wengi.
msalimie Kaizer,mwambie ile nakala ya 'jf udaku gazeti' aitunze vizuri.
 
Hebu uwahishe, kuna mtu humu nataka anitongoze lakini anajidai haoni
Nataka nimfanyie feasibility study ya kufa mtu
Utakuwa umeokoa jahazi sana
hahahahaha..... Habari yako B'

Mie naandaa jinsi gani ya "kumtega mwanaume ulomdondokea aingie line na kukutongoza akifikiri yeye ndio kaanza" lol

BTW ni kwa wanawake sio tips za kutumiwa na wanaume....
 
Mie uzi wangu wa mwaka ni wa Introduction to jf

Jinsi gani new mwmber atabreak thru old members na kukubalika.
au turushie uzi wa :
'Mimi Kongosho naamua leo kufunguka kuhusu jinsia yangu,mimi ni....'.
 
Hebu uwahishe, kuna mtu humu nataka anitongoze lakini anajidai haoni
Nataka nimfanyie feasibility study ya kufa mtu
Utakuwa umeokoa jahazi sana
wewe ni He au She? Au HeShe?
 
Back
Top Bottom