MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Yule nae duuh!!!
Kile kilikua kimziki cha huko kwao tu........bila shaka huchezwa na watoto!!!

mbona eliza wa T alivyowapiga rungu kinamama mkalia mpaka basi? Watoto?mmmhhhh!!!
 
Thread ya kufungia mwaka itakua ni "live and free counselling" kwa wana MMU wote. Yaani swali lolote kuhusu MMU we unamwaga tu, special counselor anakujibu live! Kuna member anafanya hivo via PM... ataanzisha thread, ngojeni muone.
 
Nitaanzisha siredi,sijui nitawapata hawa made,..,samahani wanawake!

Yaani wewe unafanya makusudi kwa sababu kuna neno samahani eeeh??
Utatembelea miguu mitatu ghafla alafu nione kama utawapata....lol!!!
 
Thread ya kufungia mwaka itakua ni "live and free counselling" kwa wana MMU wote. Yaani swali lolote kuhusu MMU we unamwaga tu, special counselor anakujibu live! Kuna member anafanya hivo via PM... ataanzisha thread, ngojeni muone.

Na kweli mi nangoja?
mmmh.....huyo member ni wewe nini??
 
Back
Top Bottom