Khaaa.......!!!
wakimt.a.h.i.r.i wamemhurumia
wanamkeketa kabisa
tena bila ngariba
Asante sana kisweet....Lol!
Nini tena jamani?
Kongosho waweza kuzihurumia mbavu zangu japo kwa usiku huu tu? Lol.
mbona eliza wa T alivyowapiga rungu kinamama mkalia mpaka basi? Watoto?mmmhhhh!!!
nikupe namba ya Fidel umpigie?ame fall kwako head over heels!
Nitaanzisha siredi,sijui nitawapata hawa made,..,samahani wanawake!
Thread ya kufungia mwaka itakua ni "live and free counselling" kwa wana MMU wote. Yaani swali lolote kuhusu MMU we unamwaga tu, special counselor anakujibu live! Kuna member anafanya hivo via PM... ataanzisha thread, ngojeni muone.
Khaaaaa!!Hii nayo nini khaaa!