MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

wapendwa mie napaki kibajaj changu
baada ya mchuano mkali na bishanga
na kuibuka mshindi wa post ya 400
 
Of course Lizzy ana sifa zote and i will never cheat on her,naahidi mbele ya mashahidi wafuatao:
Ashadii
Sweetlady
Smile
no nimegairi Smile futa jina yake mbeya sana
Rejao
na
Fidel
o yeh na Bujibuji
btw sitaki kuwaona Husninyo na TF kwenye shughuli yangu!
Aisee ndio naona hii kitu! Huku kwa wabeba maboksi kunanifanya niwe mbali na nambo ya muhimu kama haya!! Bishanga..umesahau role yangu hapo..
 
Aise natamani kubisha hapa lakini naogopa kesho watu watanianzishia sredi kuwa mimi mbishi!!
Rejao bana! mbona wewe long time tu ni mbishi, inasemekana samtaimu unabishana na hilo tangazo la tigo hapo chini ya ukurasa wa JF. Bisha
 
Rejao bana! mbona wewe long time tu ni mbishi, inasemekana samtaimu unabishana na hilo tangazo la tigo hapo chini ya ukurasa wa JF. Bisha
Hapa lazima nibishe, huwezi nibebesha gunia la chawa na mimi nilipokee! Au ndio unaniletea yale ya sifa za kijinga?
 
Marahaba kajukuu...mzima wewe??.....

Babu kafurahi sana leo na baraka zake zote unazo...Uenende kwa amani...Ila uwe mwangalifu na makuwadi wa yale mambo muhimu ili hazina yako isiingiliwe na panya!!!



Kwani siyo dada??.....Mbona tulishakubaliana atakuwa Dada Mkuu ili awachunge wadogo zake??

Au ndo mwendo wa dume kuvamia ndani ya bweni la mabinti??...ila niliambiwa enzi zetu kuwa kujiingiza kwenye girls' hostel ni sawa na kujiweka kitanzi....!!

Nitajtahidi nitafute njia ya kumuokoa...Me love all of my wajukuu!!



Huu sasa ni wizi wa copy right.....Nitaomba msaada kwa uncle Klorokwini!!



Hata mie sielewi...Hili jamvi lina celeb mmoja tu...Invisible...wengine wanauza sura tu...

Ukiulizwa, wambie kasema Babu DC wa 1947!!

Mkuu DC,hili la jinsia ya Kongosho ni full utata,kwa sasa nalifanyia kauchunguzi,nikimaliza nitamwaga kila kitu hazalani.
 
Mie napita tu,ila natakujua nyie mmu kwanini wadada wengi hawapendi kuvaa mipara yao ile(ya kike mfano lady pepeta)ukiwaambia ugomvi,kwanini kondom zinatofautiana bei,na ubora ni tofauti
mmmmhhhhhh ngoja nimwombe TF amuulize Husn.
 
Back
Top Bottom