MMU thread ya kufungia mwaka

wapendwa mie napaki kibajaj changu
baada ya mchuano mkali na bishanga
na kuibuka mshindi wa post ya 400
 
Aisee ndio naona hii kitu! Huku kwa wabeba maboksi kunanifanya niwe mbali na nambo ya muhimu kama haya!! Bishanga..umesahau role yangu hapo..
 
Aise natamani kubisha hapa lakini naogopa kesho watu watanianzishia sredi kuwa mimi mbishi!!
Rejao bana! mbona wewe long time tu ni mbishi, inasemekana samtaimu unabishana na hilo tangazo la tigo hapo chini ya ukurasa wa JF. Bisha
 
Rejao bana! mbona wewe long time tu ni mbishi, inasemekana samtaimu unabishana na hilo tangazo la tigo hapo chini ya ukurasa wa JF. Bisha
Hapa lazima nibishe, huwezi nibebesha gunia la chawa na mimi nilipokee! Au ndio unaniletea yale ya sifa za kijinga?
 

Mkuu DC,hili la jinsia ya Kongosho ni full utata,kwa sasa nalifanyia kauchunguzi,nikimaliza nitamwaga kila kitu hazalani.
 
Mie napita tu,ila natakujua nyie mmu kwanini wadada wengi hawapendi kuvaa mipara yao ile(ya kike mfano lady pepeta)ukiwaambia ugomvi,kwanini kondom zinatofautiana bei,na ubora ni tofauti
mmmmhhhhhh ngoja nimwombe TF amuulize Husn.
 
hajawahi kuwa mzima
ila huwa kina msimu tu
na sasa ndo msimu wake
kweli kifaduro kinamtesa sana TF
kifaduro? TF ana kakifaduro,maskini ngoja nimpeleke akaombewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…