Hii haina ubishi, Udaku sio sredi ya mwaka tu bali ni sredi ya historia ya JF.
Bisheni
Naona Bishanga hapa unakuwa catalyst!!
Na atakayebisha nambwenga makwenzi......Hii haina ubishi, Udaku sio sredi ya mwaka tu bali ni sredi ya historia ya JF.
Bisheni
Aisee utakuwa umefanya la maana sana..mimi iko zimikia sana Eliza wa tegeta. Kwa mantinki hii unamaanisha Kogosho ni kidume?jamani Rejao Eliza ni mdada bana,mi namjua ndani nje,au nikuletee kwa PM picha zake akiwa sehem sehem?
Mimi na TF tayari tumeshamuundia Kongosho tume..soon majibu tutayamwaga hapa. Kama una moyo mwepesi itabidi usilifungue hilo lisredi!unajua hapa Kongosho katoa tuhuma nzito sana dhidi yako na TF,anasema kuna kitu huwa mnavutia toilet,just imagine! Ndo mana maombezi muhimu.
Ujue jana ulifanyiwa maombi kuomba mpua wako usidondoke.
Awali ya yote niwashukuru kwa michango yenu na kuwatakia kipindi chema cha kumalizia mwaka.
Ombi kwa wadau wa mmu:
Hebu jikunjeni hapa mmwage uzi mzito wa kufungia mwaka yaani uwe pasua kichwa mpaka wachangiaji vichwa vichemke.
Mimi naandaa wa kwangu,title:
'Ukitaka kutongoza mke wa mtu tumia mbinu hizi'.
Shindwa katika jina la Yesu!..koma kama ulivyokoma nyonyo ya smile na SL!!
bo,mwanahizaya we!!
Hivi jana si ulibeba virago, au ulivirudisha tulivoondoka? Yangu macho...Kongosho umeamkaje?
Bwana apewe sifa....Habari za asubuhi wapendwa katika bwana naendelea kufunga na kuomba kwa ajili ya kondoo wa JF waliopotea njia tulikuwa kwenye mkesha wa maombi yale mapepo sugu yaliyokuwa yakiwaandama Bishanga, Kongosho, Sweetlady yametoka baada ya mtumishi Husninyo kufanya maombezi yenye nguvu na upako wa ajabu uliokuwa na moto ndani yake...
Msisahau kuja kupata maombezi njooni mfanyiwe maombi
G'morning too switie wifi.....Good morning wana JF....
@B' Jana ulilewa saana, vipi ulijitambua? Ilibidi niokoe jahazi maana vijana wa nyuma na maadili ya jamii yetu walikua wanakuangalia vibaya.....lol
ushaamka?
Naona Bishanga hapa unakuwa catalyst!!