we Six we,mke wa mtu unampelekea tena maua na perfume? du! wala usijaribu mtabambwa kwa spidi ya upepo,we subiri nitakurushia mbinu.Ukitaka kumtongoza mke wa mtu .... anza kwa kumnunulia zawadi ndogo ndogo kama chocolate, perfume, maua ... alaf nunua underpants umpe when u want to leave with her old underpants after having a gr8 gr8 sex. Nawasilisha
Afu wewe mdada nakutafuta, hakikisha tunaonana kabla ya x'mass nkukabidhi lile gauni lako, fundi keshamaliza kushona...amekuwekea kola nyeupe na mikanda...Mimi yangu 'mjue mwanaume anayekupenda kwa dhati'. Ila kwa wadada tu. Lol.
mmmmhhhh ndo atavaa kitchen party yake? Maana nasikia mtu flan hivi memba humu(jina kapuni maana na wewe SL anakuhusu) kaamua kuvuta jumla.Hongera Husn nakutakia ndoa njema yenye mafanikio,mzae mjaze dunia.Afu wewe mdada nakutafuta, hakikisha tunaonana kabla ya x'mass nkukabidhi lile gauni lako, fundi keshamaliza kushona...amekuwekea kola nyeupe na mikanda...
Hahaha...mmmmhhhh ndo atavaa kitchen party yake? Maana nasikia mtu flan hivi memba humu(jina kapuni maana na wewe SL anakuhusu) kaamua kuvuta jumla.Hongera Husn nakutakia ndoa njema yenye mafanikio,mzae mjaze dunia.
We nae, toka umpate Eliza wa Tegeta matendo yako yamebadilika ghafla, ulianza kuwa mtu mwema!we nae,lini nilikwambia nimeokoka?
Khaaa! Hivi kumbe eeh? Ndio mana uporoto amesusa kuingia jf kabisa...uporoto alipigwa kibuti longtime kisa alifilisika,si unajua Husn alivyo mtu wa matanuzi? Nikunong'oneze?unamjua bana.
Awali ya yote niwashukuru kwa michango yenu na kuwatakia kipindi chema cha kumalizia mwaka.
Ombi kwa wadau wa mmu:
Hebu jikunjeni hapa mmwage uzi mzito wa kufungia mwaka yaani uwe pasua kichwa mpaka wachangiaji vichwa vichemke.
Mimi naandaa wa kwangu,title:
'Ukitaka kutongoza mke wa mtu tumia mbinu hizi'.
We nae, toka umpate Eliza wa Tegeta matendo yako yamebadilika ghafla, ulianza kuwa mtu mwema!
Afu ahadi ni deni ujue, uliniahidi kunipeleka vekesheni, sasa mbona kimya tena?
si watakariri?kwanza nahisi Aspirin anaandaa notibuku.Changamka bishanga, mie nasubiri hizo mbinu. Na ole wake atakayezitumia kwangu, nitamuonyesha printout na atabaki mdomo wazi.
Mwanamume anayetumia mbinu za kutongoza kutoka jf hafai.
halafu ukizingatia TF ndo wale wale wanaume ka madem hadi condom wanunuliwe,yani mi Husn namshangaa kabisa sijui anampendea nini huyu mkware.Khaaa! Hivi kumbe eeh? Ndio mana uporoto amesusa kuingia jf kabisa...
Husn mbaya asee anachuna kwa uporoto anakula na TF...
hujambo Asha,za siku?hahahahaha..... Habari yako B'
Mie naandaa jinsi gani ya "kumtega mwanaume ulomdondokea aingie line na kukutongoza akifikiri yeye ndio kaanza" lol
BTW ni kwa wanawake sio tips za kutumiwa na wanaume....
hahahahaha..... Habari yako B'
Mie naandaa jinsi gani ya "kumtega mwanaume ulomdondokea aingie line na kukutongoza akifikiri yeye ndio kaanza" lol
BTW ni kwa wanawake sio tips za kutumiwa na wanaume....