Afu wewe mdada nakutafuta, hakikisha tunaonana kabla ya x'mass nkukabidhi lile gauni lako, fundi keshamaliza kushona...amekuwekea kola nyeupe na mikanda...
uporoto alipigwa kibuti longtime kisa alifilisika,si unajua Husn alivyo mtu wa matanuzi? Nikunong'oneze?unamjua bana.
maskini TF yuko bize barabarani pale kawe anauza mahindi ya kuchoma na kasimu kake ka mchina kameisha betri,akikawasha nitamshtua aje asome matamshi yako haya kisha tuone itakuwaje.mpenzi nimekumiss. Nipo busy na shemeji yako uporoto tunafanya tendo la uumbaji. Namwona bishanga anapakaza fitina. Gauni langu nitumie usije ukalivaa.
hujambo Asha,za siku?
Mmmmmmmhhhhh hapo tutaingia mkenge wengi.
msalimie Kaizer,mwambie ile nakala ya 'jf udaku gazeti' aitunze vizuri.
Hebu uwahishe, kuna mtu humu nataka anitongoze lakini anajidai haoni
Nataka nimfanyie feasibility study ya kufa mtu
Utakuwa umeokoa jahazi sana
Mhhh,
Nadhani mie nitakuja baada ya 2012, may be na thread ya kuanzia mwaka mpya....
"Je, tunaweza kumaliza 2012 bila infii?????..........!!
Natamani 2012 uwe mwaka wa novena ili tujiandae na mapinduzi makubwa yanayotukabili huko mbele....Ngono ni hatari na anti-revolutionary!!
Awali ya yote niwashukuru kwa michango yenu na kuwatakia kipindi chema cha kumalizia mwaka.
Ombi kwa wadau wa mmu:
Hebu jikunjeni hapa mmwage uzi mzito wa kufungia mwaka yaani uwe pasua kichwa mpaka wachangiaji vichwa vichemke.
Mimi naandaa wa kwangu,title:
'Ukitaka kutongoza mke wa mtu tumia mbinu hizi'.
alokwambia Kongosho mwanamke nani?hahahaha.... Ile nakala yake alichoma moto! Anasema Udaku wa mle ndani ukizidi tunzwa isije kua kweli! lol Kaizer mzima wa afya.... Anakusalimu pia.
Alafu B' mie mzima (nimefuata ushauri wako wa kuachia accelerator)
Kongosho nikikupa hizo na hio aggressive nature of yours ndani ya miezi mitatu uchumba, ndoa, mimba....hahahahah!
Lol, wewe kweli ndie Bishanga wengine wote photocopy... Umenitajia mahali pengi mpaka network imekata....duuu.Eliza wa tegeta nshampiga chini,mshari mno bana.
Vekesheni? Tena kweli, mwaka mpya unataka kwenda wapi Perth? Sanya island? Monte carlo principe de monaco? Rio? (kuna bonge la beach),Pataya? (huko ni ma party tu,Tenerife? (beautiful island),Antigua? Cyprus (kuzuri sana na kisha cheap),au unataka kutembelea majiji makubwa kama London,NY,Paris ,Berlin?
Nambie dear nifanye booking,mi ndo Bishanga bana!
Mkuu wanamapinduzi wengi damu zao huwa zinachemka,si unaona Fidel Castro hadi na kuoa ilishindikana shauri ya mwili wake kuchemka sana.
anyway tuombee sisi wenye zambi.
Sizinga hili la ahera nshalisemea siku nyingi,it is between me and my Maker,nobody else can judge me,na hii principle applies kwa kila mtu.Halafu wewe kwa wake za watu...hivi una majibu ya kutosha siku ya mwisho?? lakini we bishanga ngoja nikupe dili...mi mada yangu ni Heri ya X-Mass...itakuwa bonge la sredi nitalirusha 2 days b4 25 dec we ngoja tu naiandaa hapa...ngoja nkutakie heri na baraka za X-mass kwanza
Ha ha ha! Unajua ndio mana niliamua kumpiga chini TF nkajihamishia kwa klorokwini...halafu ukizingatia TF ndo wale wale wanaume ka madem hadi condom wanunuliwe,yani mi Husn namshangaa kabisa sijui anampendea nini huyu mkware.
poa, chagua airline KQ?Emirates? Qatar?Air Oman?Air Zimbabwe? SA?(tupitie j'burg tukale kuku kidogo),Air Malawi via Lilongwe?Egyptair?Lol, wewe kweli ndie Bishanga wengine wote photocopy... Umenitajia mahali pengi mpaka network imekata....duuu.
Mie nadhani tukaumalizie mwaka 2011 Paris...
Nawatakia kila la kheri, msalimie shemeji langu uporoto.mpenzi nimekumiss. Nipo busy na shemeji yako uporoto tunafanya tendo la uumbaji. Namwona bishanga anapakaza fitina. Gauni langu nitumie usije ukalivaa.
hujambo Asha,za siku?
Mmmmmmmhhhhh hapo tutaingia mkenge wengi.
msalimie Kaizer,mwambie ile nakala ya 'jf udaku gazeti' aitunze vizuri.