MMU thread ya kufungia mwaka

tupe title kabisa ili tuanze kujiandaa kuchangia.
Fidel yeye kanitonya kuwa ya kwake title ni:
'UKIFUMANIWA NA MKE WA KAKA YAKO FANYA YAFUATAYO':

Ya kwangu inasema hivi...VYA KWAKO VIKILIWA NA WEWE KULA VYAO...
 
Lizzy.password ya jirani yako imeibiwa
Wanamjibia mmu
Mungu Baba mbariki na Kongosho aweze kuenenda kwenye njia zisizo na maovu muongoze mbariki mtie nguvu ili aweze kusimama imara na asianguke kwenye mitego ya shetani
 
u
uuuuuuuuuwi mbavu sina,naimagine ulivyotoa mimacho,mikono umenyoosha mbele,mwili unatetemeka,kasuti kako kamtumba kalivyokubana tumbo,tuviatu twako tumetoboka kidole gumba kiko nje,tumiguu twako twembamba tulivyopinda kama masanja mwanawane....na kushoto kwako Husninyo anazunguka kwa waumini na kibaba cha sadaka(mnakusanya wenyewe asiibiwe mtu),du what a scene,right from hollywood!
 
naamini wengi watakuja na nyuzi za hivi karibuni tu.......................
 
Hio list haijakamilika.... Nani anatoa copy writes ya hio doc kama sio Klorokwini the JF lawayer? lol
mtu wa rushwa sana Kloro, cheti cha ndoa badala ya kuandika husband:Bishanga Abashaija anaweza kuandika Husband: Kaizer,
no way Mzee DC atatushuhudia kila kitu.
 
Huyo ndiye nani?
Olalalaaaa mzee mzima unanchora sasa,unataka kuniambia mama mwenye nyumba hii tukufu ya jf the right honorable Faizafoxy hujawahi kutambua uwepo wake jf? no way Mkuu!
ps: katika hili nahisi kamoshi keusi maana FF kwa umaarufu alionao jf mmmmhhhh!!!!
 
Mungu Baba mbariki na Kongosho aweze kuenenda kwenye njia zisizo na maovu muongoze mbariki mtie nguvu ili aweze kusimama imara na asianguke kwenye mitego ya shetani
kwa kuongezea tu......na arudie jinsia yake ya awali.......
 
TF & HUSNINYO FULL GOSPEL FELLOWSHIP CHURCH.....

Mnakaribishwa sana kupata neno la ukweli, usafiri wa kuwafuata na kuwarudisha waumini majumbani mwao kona zote za Dar es Salaam upo, huduma ya maombezi itatanguliwa na kila muumini kupewa Blackberry iliyounganishwa na BBM ili waumini waweze kuwasiliana na wachungaji vizuri
 
Olalalaaaa mzee mzima unanchora sasa,unataka kuniambia mama mwenye nyumba hii tukufu ya jf the right honorable Faizafoxy hujawahi kutambua uwepo wake jf? no way Mkuu!
ps: katika hili nahisi kamoshi keusi maana FF kwa umaarufu alionao jf mmmmhhhh!!!!

Siyo utani ndugu yanu.......mie nafahamu kuwa mtu mmoja ndiye maarufu sana hapa JF...naye ni my number one star...invisible a.k.a Robot.....Huyo FF ndiyo ID mpya ya invisible???
 
TF & HUSNINYO FULL GOSPEL FELLOWSHIP CHURCH.....

Mnakaribishwa sana kupata neno la ukweli, usafiri wa kuwafuata na kuwarudisha waumini majumbani mwao kona zote za Dar es Salaam upo
Huduma ya maombezi itatanguliwa na kila muumini kupewa blackberry iliyounganishwa na bbm.

 
Siyo utani ndugu yanu.......mie namfahamu kuwa mtu mmoja ndiye maarufu sana hapa JF...naye ni my number one star...invisible a.k.a Robot.....Huyo FF ndiyo ID mpya ya invisible???
FF uko wapi dear,njoo ujitambulishe hapa tafazali.
 
tatizo vya kwako vinaweza kuwa vitamu kuliko vya mwenzio,si utaumia roho?

Sasa katika hili kwa sababu umeshadhamiria hivyo...hutakiwi kufikiria tena hivyo kwani utajiumiza zaidi...msimamo unabaki palepale...
 
Eliza wa Tegeta
kuna mapinduzi yanafanyika huku
Njoo ukiwa full equiped
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…