Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tupe title kabisa ili tuanze kujiandaa kuchangia.
Fidel yeye kanitonya kuwa ya kwake title ni:
'UKIFUMANIWA NA MKE WA KAKA YAKO FANYA YAFUATAYO':
wewe tena! si utakaa high table Mkuu na Faizafoxy?
Mungu Baba mbariki na Kongosho aweze kuenenda kwenye njia zisizo na maovu muongoze mbariki mtie nguvu ili aweze kusimama imara na asianguke kwenye mitego ya shetaniLizzy.password ya jirani yako imeibiwa
Wanamjibia mmu
uMungu baba mwenye enzi aliyeketi juu ya uso wa dunia hii awabariki awaongoze, nakemea mapepo yote tokaaaaaaaaa, naomba uniongoze napoenda kuwaombea ndugu jamaa na marafiki zangu wa hapa MMU watie nguvu waongoze wakarudi kwenye nyumba zao salama damu yako ikawaongoze, waonyeshe njia wasije wakaenda kutenda tofauti na kinyume...
mtu wa rushwa sana Kloro, cheti cha ndoa badala ya kuandika husband:Bishanga Abashaija anaweza kuandika Husband: Kaizer,Hio list haijakamilika.... Nani anatoa copy writes ya hio doc kama sio Klorokwini the JF lawayer? lol
Olalalaaaa mzee mzima unanchora sasa,unataka kuniambia mama mwenye nyumba hii tukufu ya jf the right honorable Faizafoxy hujawahi kutambua uwepo wake jf? no way Mkuu!Huyo ndiye nani?
TF & HUSNINYO FULL GOSPEL FELLOWSHIP CHURCH.....u
uuuuuuuuuwi mbavu sina,naimagine ulivyotoa mimacho,mikono umenyoosha mbele,mwili unatetemeka,kasuti kako kamtumba kalivyokubana tumbo,tuviatu twako tumetoboka kidole gumba kiko nje,tumiguu twako twembamba tulivyopinda kama masanja mwanawane....na kushoto kwako Husninyo anazunguka kwa waumini na kibaba cha sadaka(mnakusanya wenyewe asiibiwe mtu),du what a scene,right from hollywood!
Olalalaaaa mzee mzima unanchora sasa,unataka kuniambia mama mwenye nyumba hii tukufu ya jf the right honorable Faizafoxy hujawahi kutambua uwepo wake jf? no way Mkuu!
ps: katika hili nahisi kamoshi keusi maana FF kwa umaarufu alionao jf mmmmhhhh!!!!
Huduma ya maombezi itatanguliwa na kila muumini kupewa blackberry iliyounganishwa na bbm.TF & HUSNINYO FULL GOSPEL FELLOWSHIP CHURCH.....
Mnakaribishwa sana kupata neno la ukweli, usafiri wa kuwafuata na kuwarudisha waumini majumbani mwao kona zote za Dar es Salaam upo
FF uko wapi dear,njoo ujitambulishe hapa tafazali.Siyo utani ndugu yanu.......mie namfahamu kuwa mtu mmoja ndiye maarufu sana hapa JF...naye ni my number one star...invisible a.k.a Robot.....Huyo FF ndiyo ID mpya ya invisible???
FF uko wapi dear,njoo ujitambulishe hapa tafazali.
tatizo vya kwako vinaweza kuwa vitamu kuliko vya mwenzio,si utaumia roho?
Of course Lizzy ana sifa zote and i will never cheat on her,naahidi mbele ya mashahidi wafuatao:
Ashadii
Sweetlady
Smile
no nimegairi Smile futa jina yake mbeya sana
Rejao
na
Fidel
o yeh na Bujibuji
btw sitaki kuwaona Husninyo na TF kwenye shughuli yangu!
Huyo ndiye nani?