Mungu Baba mbariki na Kongosho aweze kuenenda kwenye njia zisizo na maovu muongoze mbariki mtie nguvu ili aweze kusimama imara na asianguke kwenye mitego ya shetani
Afu babu DC
Mbona mie nikitizama mgongo wako napata kizunguzungu?
Sijui ni hiyo kombinga ya rangi
TF & HUSNINYO FULL GOSPEL FELLOWSHIP CHURCH.....
Mnakaribishwa sana kupata neno la ukweli, usafiri wa kuwafuata na kuwarudisha waumini majumbani mwao kona zote za Dar es Salaam upo, huduma ya maombezi itatanguliwa na kila muumini kupewa Blackberry iliyounganishwa na BBM ili waumini waweze kuwasiliana na wachungaji vizuri
Of course Lizzy ana sifa zote and i will never cheat on her,naahidi mbele ya mashahidi wafuatao:
Ashadii
Sweetlady
Smile
no nimegairi Smile futa jina yake mbeya sana
Rejao
na
Fidel
o yeh na Bujibuji
btw sitaki kuwaona Husninyo na TF kwenye shughuli yangu!
Faiza mkali huyo,jukwaa la siasa kila mtu huwa anamkalia mbali maana yeye huwa anatema cheche tu.
Kumbeee!!
Labda ndo maana simfahamu na siyo celeb kama invisible!!
Mungu Baba mbariki na Kongosho aweze kuenenda kwenye njia zisizo na maovu muongoze mbariki mtie nguvu ili aweze kusimama imara na asianguke kwenye mitego ya shetani
Kongosho,huyu kamba zake,kuna dem kasikia ameokoka basi hii ndo style yake ya kumtokea,hapati mtu mmu.He he he he, naona umerudi kundini kuanzia kiunoni kwenda juu
huku kwengine naamini tunaweza endelea na mazungumzo yetu ya memorandam of understanding
Aaah,ODM yuko na Rocky wanakunywa maji ya mende,temana nae huyo!Nimeshabip hebu toka nje uone!!
Mkuu unasema dada (red hapo), hivi unaamini Kongosho ni mdada? what makes you think so? angalia mzee!Wewe dada Mkuu,
Hii pichan ni miaka zaidi ya 30 iliyopita..age ilikuwa inaruhusu kabisa kufanya ukichaa wa aina yoyote ile...!!
tupe title kabisa ili tuanze kujiandaa kuchangia.
Fidel yeye kanitonya kuwa ya kwake title ni:
'UKIFUMANIWA NA MKE WA KAKA YAKO FANYA YAFUATAYO':
u
uuuuuuuuuwi mbavu sina,naimagine ulivyotoa mimacho,mikono umenyoosha mbele,mwili unatetemeka,kasuti kako kamtumba kalivyokubana tumbo,tuviatu twako tumetoboka kidole gumba kiko nje,tumiguu twako twembamba tulivyopinda kama masanja mwanawane....na kushoto kwako Husninyo anazunguka kwa waumini na kibaba cha sadaka(mnakusanya wenyewe asiibiwe mtu),du what a scene,right from hollywood!