MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

He he he he, naona umerudi kundini kuanzia kiunoni kwenda juu
huku kwengine naamini tunaweza endelea na mazungumzo yetu ya memorandam of understanding

Mungu Baba mbariki na Kongosho aweze kuenenda kwenye njia zisizo na maovu muongoze mbariki mtie nguvu ili aweze kusimama imara na asianguke kwenye mitego ya shetani
 
Afu babu DC
Mbona mie nikitizama mgongo wako napata kizunguzungu?
Sijui ni hiyo kombinga ya rangi

Wewe dada Mkuu,

Hii pichan ni miaka zaidi ya 30 iliyopita..age ilikuwa inaruhusu kabisa kufanya ukichaa wa aina yoyote ile...!!
 
TF & HUSNINYO FULL GOSPEL FELLOWSHIP CHURCH.....

Mnakaribishwa sana kupata neno la ukweli, usafiri wa kuwafuata na kuwarudisha waumini majumbani mwao kona zote za Dar es Salaam upo, huduma ya maombezi itatanguliwa na kila muumini kupewa Blackberry iliyounganishwa na BBM ili waumini waweze kuwasiliana na wachungaji vizuri

nahisi bishanga kaangukiwa na pepo. Tunahitaji kufunga na kusali kumwombea. Sawa mpendwa katika bwana?
 
Of course Lizzy ana sifa zote and i will never cheat on her,naahidi mbele ya mashahidi wafuatao:
Ashadii
Sweetlady
Smile
no nimegairi Smile futa jina yake mbeya sana
Rejao
na
Fidel
o yeh na Bujibuji
btw sitaki kuwaona Husninyo na TF kwenye shughuli yangu!

hapo umeongea kinyume. Unatamani hata sahv uvunje screen unafikiri ndio utatuona! Huyooo... Na lazima tuje tuharibu shughuli. Lol.
 
Namsubiri kwa dakika kama 5...baada ya hapo naenda kucheza na wajukuu....Itabidi apitishe utambulisho wake kwa invisible!!
Faiza mkali huyo,jukwaa la siasa kila mtu huwa anamkalia mbali maana yeye huwa anatema cheche tu.
 
Naona umerudi kundini kuanzia kiunoni kwenda juu
huku kwingine tuendelee na ile MOU
Teh teh, i like that way
Unajaribu kum-fool nani?
Mungu Baba mbariki na Kongosho aweze kuenenda kwenye njia zisizo na maovu muongoze mbariki mtie nguvu ili aweze kusimama imara na asianguke kwenye mitego ya shetani
 
He he he he, naona umerudi kundini kuanzia kiunoni kwenda juu
huku kwengine naamini tunaweza endelea na mazungumzo yetu ya memorandam of understanding
Kongosho,huyu kamba zake,kuna dem kasikia ameokoka basi hii ndo style yake ya kumtokea,hapati mtu mmu.
 
Aaah,ODM yuko na Rocky wanakunywa maji ya mende,temana nae huyo!Nimeshabip hebu toka nje uone!!

Eiyer tuheshimiane hubby wangu hatumii maji ya mende pliiiiz. Utakua umemchanganya!
 
Wewe dada Mkuu,

Hii pichan ni miaka zaidi ya 30 iliyopita..age ilikuwa inaruhusu kabisa kufanya ukichaa wa aina yoyote ile...!!
Mkuu unasema dada (red hapo), hivi unaamini Kongosho ni mdada? what makes you think so? angalia mzee!
 
tupe title kabisa ili tuanze kujiandaa kuchangia.
Fidel yeye kanitonya kuwa ya kwake title ni:
'UKIFUMANIWA NA MKE WA KAKA YAKO FANYA YAFUATAYO':

B sina zaidi ya kusema nakupa salute.....wewe ni mwishoooo!sijui unatoa wapi haya maneno.
 
nahisi bishanga kaangukiwa na pepo. Tunahitaji kufunga na kusali kumwombea. Sawa mpendwa katika bwana?
you mean hiyo novena mtaifungia chumbani wawili? shauri lako kama hujatoka na mimba huko!
 
hapo umeongea kinyume. Unatamani hata sahv uvunje screen unafikiri ndio utatuona! Huyooo... Na lazima tuje tuharibu shughuli. Lol.
nyie ndo mkienda harusi za watu bibi harusi hatungi mimba ng'o'kha!
 
Eiyer tuheshimiane hubby wangu hatumii maji ya mende pliiiiz. Utakua umemchanganya!
yupi sasa mmeo katika hawa wawili,Rocky au Aspirin? kama ni Aspirin du itakuwa imekula kwako maana sio mhongaji.
 
Naona umerudi kundini kuanzia kiunoni kwenda juu
huku kwingine tuendelee na ile MOU
Teh teh, i like that way
Unajaribu kum-fool nani?
ndo gea zake,anajaribu kuku fool wewe,anadhani wewe ni She.
 
u
uuuuuuuuuwi mbavu sina,naimagine ulivyotoa mimacho,mikono umenyoosha mbele,mwili unatetemeka,kasuti kako kamtumba kalivyokubana tumbo,tuviatu twako tumetoboka kidole gumba kiko nje,tumiguu twako twembamba tulivyopinda kama masanja mwanawane....na kushoto kwako Husninyo anazunguka kwa waumini na kibaba cha sadaka(mnakusanya wenyewe asiibiwe mtu),du what a scene,right from hollywood!

Hahahahahaaaaaa nakufaaaaaa mbavu zangu mieeeeee hahahahaaaa Bishanga naomba kwangu nikufanyie maombi!! Bado kidogo ni dondoke kwa kucheka daaaah
 
Back
Top Bottom