FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #21
kesho narusha wa kwangu,title:
'Jamani wanaume tuwe wakweli,nani hajawahi kutembea na mke wa mtu?'
Ki ukweli kabisa imekuwa wanawake wanawake yaani hata mpaka ukipita hapa unaona uvivu kuchangia
yupo kwani humu mmu ambaye hajawahi kulamba my wife wa mtu?labda awe kijana mdogo.ha Bishanga !
msamehe!
1.Mke wangu ana Mimba ya Wajanja!
2.Nauza Mke Wangu!
3.Ndoto ya mke wangu imepunguza Upendo na amani!
4.Atorokwa na Mke Siku moja baada ya harusi!
5.Nimechoshwa na huyu mwanamke ..!
Kulikoni mbona kila kukicha ni matatizo wanawake wanawake nini kimetokea ...?:A S-coffee:
Yaani DA mie kila nikisign in najikuta nimesign out ghafla ...
tatizo lako na wewe Fidel80 bwana hauko serious ndo maana kakukimbia ..wewe anaomba hela ya lotion unamwambia kuna hela ulimkopesha St .RR unaifatilia ndo umletee wapi na wapi ...
Yaani hiyo ya nayouza mke ndo iliniacha hoi
ndoa za siku hizi utata mtupu hakuna mwoaji wala muolewaji mtu anataka kuonekana kaoa/kuolewa basi
watuache kama tulivyo!!