MMU week hii dah!!

MMU week hii dah!!

ndoa za siku hizi utata mtupu hakuna mwoaji wala muolewaji mtu anataka kuonekana kaoa/kuolewa basi
 
Kati ya hizo thread tano unaweza kukuta thread tatu ndio zina mantiki zingine waweza kukuta ni za kutunga na magumashi tu.
 
Kama mziki tu, nitoke vp
1.Mke wangu ana Mimba ya Wajanja!
2.Nauza Mke Wangu!
3.Ndoto ya mke wangu imepunguza Upendo na amani!
4.Atorokwa na Mke Siku moja baada ya harusi!
5.Nimechoshwa na huyu mwanamke ..!
Kulikoni mbona kila kukicha ni matatizo wanawake wanawake nini kimetokea ...?:A S-coffee:
 
tatizo lako na wewe Fidel80 bwana hauko serious ndo maana kakukimbia ..wewe anaomba hela ya lotion unamwambia kuna hela ulimkopesha St .RR unaifatilia ndo umletee wapi na wapi ...

Hihihihihi umenichekesha yy kipato chake kipo juu atanipigaje mzinga jamani.
 
mtu anakaa na kufikiriiiii namna ya kuanzisha thread......anatunga na kuiweka hapa...ikipata wachangiaji wengi..kesho tena anakaa na kufikiriiii anatunga nyingine anaitupia hapa....kazi kweli
 
Back
Top Bottom