Mna deal vipi na mtu unae mtumia hela afu asemi Asante au kama kaipata

Ukweli mchungu [emoji23][emoji23]
M ndo nakwambia na mm ni shuhuda 😅😅..Kuna siku nimewaomba watu elfu 10 Kama watano hivi...basi bwana nkawa nimepokea miamala mi 3 kutoka kwa wakala..nkawa najiuliza nani katuma ikabidi ni mute...yule main Sasa akaniuliza vipi ela umeipata..nkamwambia ndio nimepata ...kumbe alikuwa hajatuma..bauana...acha niaibike😅😅😅
 
[emoji28][emoji28]inabidi mbadilike mtakosa vizuri zaidi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mkavuu anajibu "vingunguti"
Nyie kuna watu wakaksiii, akhiiiii.
Sema kutuma pesa kipaji ..
Alafu wadada huwa wanamkadiria mtu kmmke....

Wakikuona mwenzangu na mimi bwege unatolewa tuu kwa sababu za kijinga jinga...

Sasa kazi ya mama uji ina haja ya interview jamn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…