DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
unavyo omba kitu kwa kujielezea na unapo pewa kisha una potea kimya ndo tabia gani ? ..wengine tuna penda feedback ili kama isipo kutosha iwe rahisi kukuongezea na tujue kama ume fanikisha wala sio roho mbaya
Kusaidia ni Kama upendo vyote ni uwezo
Ukiona unampenda MTU ili na yeye akupende basi wewe unakuwa haujawa na uwezo wa kupenda Ila unajilazimisha .
The same ukiwa unatoa na kumpa MTU kitu ukiona unasubiri mrejesho wakuambiwa Asante basi ujue haujafika viwango vya kutoa au kusaidia.