Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kwa hiyo ela ndiyo sahihi na siyo hela?Mods naomba medite kwenye Hela muweke ela ...error
Ndo tabia zao hizi nme chelewa kujuaUmetuma kupitia wakala sasa atajuaje kuwa n ww ndio umetuma hy pesa wakati ameomba pesa kwa wanaume zaidi ya 10 kwa wakati mmoja?
Kwani hela na ela ipi ni sahihi? 😂Mods naomba medite kwenye Hela muweke ela ...error
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had mbavu zinaumaa,Sema kutuma pesa kipaji ..
Alafu wadada huwa wanamkadiria mtu kmmke....
Wakikuona mwenzangu na mimi bwege unatolewa tuu kwa sababu za kijinga jinga...
Sasa kazi ya mama uji ina haja ya interview jamn
Ela..Kwani hela na ela ipi ni sahihi? 😂
NdioKwa hiyo ela ndiyo sahihi na siyo hela?
Kwahiyo hapa wewe kinachokuuma ni kipi mkuu? Kutokuambiwa asante au kutokupewa feedback? Maana kwenye asante wengine wanashukuru rohoni tena kwa kumaanisha na kwenye feedback before hujamtumia alikuambia jina linalokuja wakati wa kutuma na wewe ulithibitisha so uhakika unao kwamba pesa imefika.Kuna hii tabia mtu ana omba pesa .una mtumia kupitia kwa wakala afu hasemi kama kaipata wala hasemi Asante.
Yani ana kaa kimya kabsa kama amna kilichotokea na wakati yupo hewani
Binafsi ina ni kwaza ..nawasilisha
View attachment 3065278
Iwe mwisho kumtumua helaKuna hii tabia mtu ana omba pesa .una mtumia kupitia kwa wakala afu hasemi kama kaipata wala hasemi Asante.
Yani ana kaa kimya kabsa kama amna kilichotokea na wakati yupo hewani
Binafsi ina ni kwaza ..nawasilisha
View attachment 3065278
Kwani muamala haukupi confirmation kwamba hela imefika?Kuna hii tabia mtu ana omba pesa .una mtumia kupitia kwa wakala afu hasemi kama kaipata wala hasemi Asante.
Yani ana kaa kimya kabsa kama amna kilichotokea na wakati yupo hewani
Binafsi ina ni kwaza ..nawasilisha
View attachment 3065278
Hawa ni sawa na matapeliMwaka juzi 2022 Kuna demu aliniomba 100k ili asolve msala fulani polisi,basi Mimi nikampigia agent wangu kuwa atumbukize 100k kwenye namba ambayo nilimtumia ya yule demu.
Kisha agent akanitaarifu kuwa kasharekebisha Kila kitu kipo good, after 2 hours demu ananipigia simu akiuliza vipi mbona kimya? Yaani hakuona muamala, ikabidi nikate simu na kumpigia yule agent kuwa muamala mbona haujafika?
Wakala akaona isiwe tabu ndani ya dakika tano akaja na simu mpaka home ikionesha pesa katuma kwa jina lilelile na muda aliotuma ni uleule,
Nikiwa nawaza nafanyaje mbona sielewi yule demu baada ya muda akanipigia na kuniambia kuwa Ile pesa ni kweli ilifika na akachomoa mzigo fasta kwani alijua labda Kuna mtu alikosea namba na kuniambia pesa katumia kwa vitu vingine tu na msala uko pale pale
Maswali ya kujiuliza,
Unatoaje pesa si yako?
Ndo maana kwa swala sensitive kama ilo sikutaka kuhoji sana .ila nimeona ni ka.a tabia inayo mshushia mtu kusaidika kwa haraka tena.Kumsaidia MTU
Kumfurahisha MTU
Kutoa kwa MTU
Anayefaidika na haya mambo matatu hapo juu ni mtoaji aliyetoa .
Neno Asante au nimepata linaweza lisiwe na umuhimu kwako mtoaji Ila nature inatambua na malipo yako utayapata VIZURI.
Endelea kuwa na helping hand kikubwa hakikisha katika kutoa kwako hauathirikiki kwa namna yoyote.
Pia kutoa kitu huku unasubiri Asante inaweza kukuumiza maana watu wengine hawajui kuomba Ila wanajua kushukuru na wengine wanajua kuomba Ila hawajui kushukuru.
So usirudishe huo muamala hauwezi kujua kipi kipo nyuma ya hela yako.
Pia fahamu tu kuwa katika kipato chako kuna riziki za WATU hivyo ni vizuri kuwa na nidhamu ya PESA Ila sio vizuri kuwa BAHILI.
Ukituma hela kwa wakala kama kaomba watu wengi hawezi jua nani kamtumia pesa, hivyo itabidi akusikilizieKuna hii tabia mtu ana omba pesa .una mtumia kupitia kwa wakala afu hasemi kama kaipata wala hasemi Asante.
Yani ana kaa kimya kabsa kama amna kilichotokea na wakati yupo hewani
Binafsi ina ni kwaza ..nawasilisha
View attachment 3065278
unavyo omba kitu kwa kujielezea na unapo pewa kisha una potea kimya ndo tabia gani ? ..wengine tuna penda feedback ili kama isipo kutosha iwe rahisi kukuongezea na tujue kama ume fanikisha wala sio roho mbayaKwani muamala haukupi confirmation kwamba hela imefika?
Asipokupa asante unapungukiwa na kitu? Unamsaidia mtu ili akupe asante?
Ndo maana kwa swala sensitive kama ilo sikutaka kuhoji sana .ila nimeona ni ka.a tabia inayo mshushia mtu kusaidika kwa haraka tena.
Na hiki kimenifumbua macho wana omba pesa sehemu nyingi nyingi..Ukituma hela kwa wakala kama kaomba watu wengi hawezi jua nani kamtumia pesa, hivyo itabidi akusikilizie