DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
unavyo omba kitu kwa kujielezea na unapo pewa kisha una potea kimya ndo tabia gani ? ..wengine tuna penda feedback ili kama isipo kutosha iwe rahisi kukuongezea na tujue kama ume fanikisha wala sio roho mbaya
Sasa akikaa kimya si ndiyo imemtosha?unavyo omba kitu kwa kujielezea na unapo pewa kisha una potea kimya ndo tabia gani ? ..wengine tuna penda feedback ili kama isipo kutosha iwe rahisi kukuongezea na tujue kama ume fanikisha wala sio roho mbaya
Sasa wewe ulisaidia ili usaidie au ulisaidia ili uabudiwe?nishawahi kumtumia single maza mmoja kitita cha Tsh elfu tano, halafu akakaa kimya masaa manne hivi..
nilichofanya nikawapigia voda wakarudisha muamala.
Baadae ndio sms ya malalamiko kwamba nimerudisha hela😅😅😅
Ukitaka kusaidia, saidia.Hii tabia anayo mama yangu tunaenda nae hivo hivo tu na uzee wake
Uliweka mitego kote kote?? Wewe ni mtu hatari sana.....Ulitakiwa professionally uwe MvuviM ndo nakwambia na mm ni shuhuda 😅😅..Kuna siku nimewaomba watu elfu 10 Kama watano hivi...basi bwana nkawa nimepokea miamala mi 3 kutoka kwa wakala..nkawa najiuliza nani katuma ikabidi ni mute...yule main Sasa akaniuliza vipi ela umeipata..nkamwambia ndio nimepata ...kumbe alikuwa hajatuma..bauana...acha niaibike😅😅😅
Sawa agnosticKuna watu wengine wanaona aibu sana kuwa wanahitaji msaada.
Kitendo cha kukuomba msaada tu, wao wanaona ni kitendo cha aibu.
Mazungumzo yoyote yanayohusiana na huo msaada, ni kitu cha aibu kwao.
Wewe kutaja kwamba umewasaidia, kwao ni jambo la aibu.
Pengine hata wao kuwashukuru baada ya kusaidiwa, wanaona ninjambo la aibu.
Mkiombaomba kushukuriwashukuriwa sana baada ya kuasaidia mnawaongezea stress na trauma.
Mnaelewa hili?
Kwanza mimi si agnostic, halafu agnostic inahusikaje hapa?Sawa agnostic
Yani we acha tu utoto Raha sana😅😅Uliweka mitego kote kote?? Wewe ni mtu hatari sana.....Ulitakiwa professionally uwe Mvuvi
Point imeishia hapa.Huenda Aliomba watu wengi na miamala ikaingia Sasa anashindwa amwambie nani ASante anasubiri umuulize ww kama ameipata...stuka😂😂
Hahaha, hujui vingunguti Kuna kampuni nyingi ?Vingunguti? Interview ya kazi machinjoni au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
APoint imeishia hapa.
Niliwahi kumuacha binti mmoja kwa ziara ya kushtukiza kwa kisa cha akiomba pesa ukamtumia yaani mpaka umpigie simu umuulize kama kaipata.
Baadae nilikuja kujua anawaomba wengi na anashindwa kutambua aliyetuma,hivyo nilisitisha huduma zote
wapi nimeandika kwamba nimemsaidia? we mzee punguza judgementSasa wewe ulisaidia ili usaidie au ulisaidia ili uabudiwe?