Mna deal vipi na mtu unae mtumia hela afu asemi Asante au kama kaipata

Kuna hii tabia mtu ana omba pesa .una mtumia kupitia kwa wakala afu hasemi kama kaipata wala hasemi Asante.
Yani ana kaa kimya kabsa kama amna kilichotokea na wakati yupo hewani

Maana siku nyingine usimtumie tena...
 
Kuna hii tabia mtu ana omba pesa .una mtumia kupitia kwa wakala afu hasemi kama kaipata wala hasemi Asante.
Yani ana kaa kimya kabsa kama amna kilichotokea na wakati yupo hewani

Binafsi ina ni kwaza ..nawasilisha

View attachment 3065278
Nina allergy sana na mwandiko wa maneno nusu nusu, sijui kwa nini.

Unaweza kuchati na mimi ukiwa unaandika nusu nusu ila mimi nitaandika maneno vizuri.

Kwani touch huwa zinaumiza vidoleo hadi mtu uanze kuandika hivyo?
 
Mimi nikituma kupitia kwa wakala, nitamtumia sms kuwa NIMETUMA.

Hadi hapo mimi nimenawa mikono.
 
Labda hela uliyotuma ni kidogo sana hivo haistahili kutolewa shukrani
 
Mkaushie usimkohoe wala nini... Shida itamkuta siku nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…