Mna deal vipi na mtu unae mtumia hela afu asemi Asante au kama kaipata

Mwanamke anayeomba fedha umtumie ukimuuliza kiasi anasema chochote ni hatari kwa afya yako , jua kuna kadirio lake usipolifikia hawezi kukushukuru wala kusema ameipata cha msingi ni kuacha kumtumia kama siyo mkeo
 
nilkua sija waza hili hasemi kiwango anacho itaji ana subiri ujimalize .hawa ni matapeli
 
Utakuta muamala wenyewe wa elfu 10 kelele kibao.
Jaribu kumtumia muamala ulioshiba km hajafunga safari akufate kukupa ahsante live.!
 
nilkua sija waza hili hasemi kiwango anacho itaji ana subiri ujimalize .hawa ni matapeli
Hawezi mtu akaomba nauli anajua kabisa kwenda na kirudi let sayi elfu kumi hajanya chai na maji hajanywa harafu akuambie chochote 🤣 anajua hali yako haiendani na mahitaji yake ya juu hivo akikuambia kiasi hajui kama utaweza hivyo atakupoteza wakati hana mtu ambaye ni mia moja wa kutimiza mahitaji yake
nilkua sija waza hili hasemi kiwango anacho itaji ana subiri ujimalize .hawa ni matapeli
 
Wa namna hiyo si anakuwa kajifuta mwenyewe
 
Mna complicate sana maisha, kikubwa si kaipata au unatakaje..??
Sio wote wameumbiwa moyo wa shukrani
 
Kuna hii tabia mtu ana omba pesa .una mtumia kupitia kwa wakala afu hasemi kama kaipata wala hasemi Asante.
Yani ana kaa kimya kabsa kama amna kilichotokea na wakati yupo hewani

Binafsi ina ni kwaza ..nawasilisha

View attachment 3065278
Possibly huo mzinga wa nauli kapiga kwa watu wengi kwaiyo iyo text ya muhamala kutoka kwa wakala hajui ni hela ambayo imetumwa na nani sasa akikosea akasema asante kwa ambae hajamtumia maana yake mpango umealibika..

Kama ndio kawaida yake yaani iyo sio mara ya kwanza basi uyo ndivyo alivyo, mwambie tu ile kama kama kwamba ni vizuri kusema asante atakuelewa
 
Tabia hii anayo mama yangu. Hata umtumie milioni anakausha wala hakuambii kama imemfikia. Tumeshamzoea. Kwahyo kuna watu wa namnq hiyo wazoee tu!
Kwa Mama sawa alivyokusomesha mpaka kufika hapo ulipo ulimpa Asante
 
Hii tabia anayo mama yangu tunaenda nae hivo hivo tu na uzee wake
Thamani ya Mama unaweza kuifananisha na mtu mwingine yoyote? Mama yako ana haki hata asiposema Asante cos niwajibu wako wewe kumtunza maana bila yeye wewe usingeweza kufika hapo ulipo na wala katika malezi yako yote hujawahi kumwambia Asante
 
Utakuta muamala wenyewe wa elfu 10 kelele kibao.
Jaribu kumtumia muamala ulioshiba km hajafunga safari akufate kukupa ahsante live.!
Hata hiyo elfu 10 ni hela ili iwe laki lazima elfu 10 iwepo tuache dharau
 
Utakuta muamala wenyewe wa elfu 10 kelele kibao.
Jaribu kumtumia muamala ulioshiba km hajafunga safari akufate kukupa ahsante live.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa hatareeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…