TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Uliwahi kuona wapi jambazi akavamia kusiko na mali ya kuiba!?Ni kwanini sehemu zenye rasilimali tu ndio hao ‘ waislam’ wanavamia?
Somalia kuna rasilimali? kaskazini mwa kenya kwenye lile jangwa kuanzia Mandera hadi Wajir kuna rasilimali?Ni kwanini sehemu zenye rasilimali tu ndio hao ‘ waislam’ wanavamia?
Kuwa tyr kuna kampuni za kizungu(mabeberu) zinachimba ndio sababu ya kutokuoa na conflict of interest?Mkuu labda mie sielewi kwamba mabeberu wanapigana na mabeberu wenzao ama waafrika? Sababu nachojua huko tyr kuna kampuni za magharibi zinachimba rasilimali sasa kwanini tena watumie waasi wkt wameshamilikishwa madini?...
Vita ya savimbi ilikua ideological zaidi kuliko maslahi.... Ilikua kipindi cha Cold War kwahyo Sauzi, US na Russia walikua ma strategic goals pale otherwise vita iwepo isiwepo hizo almasi wanachimba mabeberu miaka yote tena kwa mikataba mibovu kabisa.Kuwa tyr kuna kampuni za kizungu(mabeberu zinachimba ndio sababu ya kutokuoa na conflict of interest?
Unajifanya hujui nini kilifanya vita isiishe upesi Cabinda? Hujui kuwa ni baada ya vita baridi ndio Savimbi mabeberu walimtosa? Acha porojo zako.
Sehemu gani nyingine kuna uchumi halafu waislam wakavamia?Ni kwanini sehemu zenye rasilimali tu ndio hao ‘ waislam’ wanavamia?
Ukweli upo hapa. Hakuna watu wajinga duniani ukiwaondoa Wanafalsafa, Wanasayansi na Atheist kuliko hawa waitwao Mabeberu. Wanakuwa sababu ya kumwagika kwa damu za watu, huku wenyewe watakufa na kinachofata ni huzuni na majonzi milele.Lakini kuna nadharia mbalimbali zimeenea mitaani kwamba watu hao waliovamia Msumbiji au jamhuri ya watu wa Mozambique sio Al-shabab bali ni siasa za mabeberu na uvamizi wa mabeberu baada ya ugunduzi wa gesi eneo la kaskazini mwa mji wa Maputo zenye reserve estimate ya 425Billion Cubic meter na hule ugunduzi wa gesi 40km kutoka pwani ya mji wa Calbo Delgado .
Weusi ni LAANA!Viongozi wa Africa wanatamaa,wabinafsi,wakiwa madarakani hujifanya kama ni wamiliki wa nchi kifupi ni hopeless tu wachache hunufaika na rasilimali za nchi huku wakiwataka wengine waendelee kuwa wazalendo kitu ambacho hakipo....kisha wakishaharibu husingizia mabeberu wanawatumia raia.
Sisi watu weusi hatujielewi kabisa mimi hushangaa ninapoambiwa Nigeria ni nchi tajiri Africa,halafu nikizoom maisha yao na maisha ya nchi kama Morocco,Tunisia,Algeria, Misri etc.
Hata hiyo South ukiwatoa wale kaburu wale raia wao hakuna kitu mule.
Mtu mweusi ni mtu mweusi tu,kila mtu anajikomboa na familia,ukoo na jamaa zake kwenye kula keki ya taifa the rest endeleeni kuwa wazalendo.
Vita ya Savimbi ilikuwa ideological kuliko maslahi? Kwamba hakuna aliyetaka kunufaika na almasi ya Angola?Vita ya savimbi ilikua ideological zaidi kuliko maslahi.... Ilikua kipindi cha Cold War kwahyo Sauzi, US na Russia walikua ma strategic goals pale otherwise vita iwepo isiwepo hizo almasi wanachimba mabeberu miaka yote tena kwa mikataba mibovu kabisa.
Kwani Tanzania hapa wanaochimba dhahabu ni watu weusi? Kuna vita? Tunaambulia 30% ya Corporate Tax ila 70% inaenda kwa mabeberu ila je wamehitaji kikundi cha waasi ili wanufaike na madini? Hivi kule DRC unahitaji waasi ndio uchimbe madini ilihali mabeberu wanachimba kwa mikataba ya kinyonyaji miaka yote?
Hoja iwe waasi wanatumika na mabeberu ili kudhoofisha mababeru wenzao waliopewa mikataba halali ya kuchimba ila kusema beberu ategemee waasi ili avune rasilimali ni kupotosha ukweli.
Pengine histoeia hufahamu ila Kabila pamoja na kudai mabeberu ni wezi wa madini lakini ndio aliwatumia kuchimba almasi na dhahabu na yye aliambulia 20% pekee huku 40% ikienda kwa kina Munangagwa na Angola na 40% kwa Wafaransa!! Ssa hapo Beberu na waasi kuna correlation gani?
Ninakubali 100% vita ya Angola ni ideological kama ilivyokuwa kwa Korea na Vietnam.Vita ya Savimbi ilikuwa ideological kuliko maslahi? Kwamba hakuna aliyetaka kunufaika na almasi ya Angola?
Hapa Tanzania kulaumu kuwa tunapata 30% corporate tax ni kutaka kuleta lawama zisizofaa. Tufanye nini wakati hatuna mtaji? Unadhani kuikamata dhahabu ya Bulyanhulu bila mtaji ni rahisi. Lakini muwekezaji anakuja kuchimba kwa kupata vibari na taifa linanufaika. Tofauti na kufanyiwa ubabe wa kibeberu.
Drc waaasi wanateka maeneo na kuchimba madini kwa manufaa yao huku wakisaidiwa na mabeberu. Ndio maana ili Kabila apate hata kiduchu aliamua apate backup ya Zim na Angola.
Sio Waislamu Ni slogan ya beberu ya kuvuna anachotakaNi kwanini sehemu zenye rasilimali tu ndio hao ‘ waislam’ wanavamia?
Mabeberu hupenda kuweka vita maeneo yenye kitu kinachoingiza pesa nyingi Maeneo hayo ni yale yenye madini,au mafuta na gesi au madawa ya kulevyaSomalia kuna rasilimali? kaskazini mwa kenya kwenye lile jangwa kuanzia Mandera hadi Wajir kuna rasilimali?
Waafrika tuache kuwatupia lawama wazungu kwa internal failures zetu.