Kupigana vita ni gharama kubwa hivyo wanachofanya wanavania kwanza sehemu zenye raslimali wakishateka wanaanza wao kuuza hizo raslimali kupata pesa za kununua silaha ili wawe na nguvu zaidi za kupiganaNi kwanini sehemu zenye rasilimali tu ndio hao ‘ waislam’ wanavamia?
Mkuu, naona bado hujang'amua faida ya kutumia misamiati kama "mabeberu, vita vya kiuchumi," n.k., kwenye kipindi hiki.Mkuu labda mie sielewi kwamba mabeberu wanapigana na mabeberu wenzao ama waafrika? Sababu nachojua huko tyr kuna kampuni za magharibi zinachimba rasilimali sasa kwanini tena watumie waasi wkt wameshamilikishwa madini?
Unajua hata DRC wanasemaga mabeberu yanaleta vita ili wapore madini lakini cha kushangaza hata maeneo walipoondoa waasi mfano then- Katanga province walipoondoa waasi bado wenye mkataba wa kuchimba walikuwa Total!! Same to Cabinda walitimua waasi ila bado wanaochimba off shore mafuta ni mabeberu!!
So mnaposema mabeberu wanaleta vita ili wachimbe almasi naomba mtusaidie je kukiwa na amani kma Tanzania ni nani anayechimba madini tena kwa mikataba ya kiwizi kabisa? Ama kukiwa na vita inawaongezea nni ambacho wanakikosa kukiwa na amani?
Cc Gerald .M Magembe
Sehemu gani nyingine kuna uchumi halafu waislam wakavamia?
Eeenh, wewe kweli ni chizi. Cocaine na Alfganistan wapi na wapi?Somalia wanañima sana miru gi na kuuza ulaya osama kule kwake Afghanistan ndio kunaongoza duniani kwenye kilimo cha cocaine !!!
nenda youtube andika cocaine afghanistan Cocaine ni biashara kubwa mno Afghanistan.Eeenh, wewe kweli ni chizi. Cocaine na Alfganistan wapi na wapi?
Halafu mtu apigane vita kwa sababu ya mirungi?
YEHODAYA, ukiendelea hivi utazeekea JF bila ya kupata uteuzi wa aina yoyote hata kama huyo jamaa atakaa madarakani miaka 50!
Maiduhuri Nigeria
Vita na vurugu kwenye Nchi za Kiafrika husababishwa na Waafrika wenyewe.Somalia kuna rasilimali? kaskazini mwa kenya kwenye lile jangwa kuanzia Mandera hadi Wajir kuna rasilimali?
Waafrika tuache kuwatupia lawama wazungu kwa internal failures zetu.
Hii inakuonyesha usivyokuwa na uelewa wa mambo unayoandika hapa.nenda youtube andika cocaine afghanistan Cocaine ni biashara kubwa mno Afghanistan.
Mirungi pia ni biashara kubwa mno
ndio maana Alshabab walivamia somalia ili wateke hiyo biashara pia Afghanstan kuna mashamba ya cocaine makubwa akina Osama Alkaeda wakavamia ili kuteka hayo maeneo .Mirungi na cocaine vinalimwa na waisñamu wa somalia na Afghanstan na kusambazwa duniani ulaya na marekani
Nakuhurumia sababu inaonyesha huwa unalishwa maneno kuwa kule ni waislamu swala tano video hiyo hapo jionee mwenyeweHii inakuonyesha usivyokuwa na uelewa wa mambo unayoandika hapa.
Afghanistan hakuna cocaine hata ya dawa!
VIdeo hiyo hapoEeenh, wewe kweli ni chizi. Cocaine na Alfganistan wapi na wapi?
Halafu mtu apigane vita kwa sababu ya mirungi?
YEHODAYA, ukiendelea hivi utazeekea JF bila ya kupata uteuzi wa aina yoyote hata kama huyo jamaa atakaa madarakani miaka 50!
Hii inakuonyesha usivyokuwa na uelewa wa mambo unayoandika hapa.
Afghanistan hakuna cocaine hata ya dawa!
Wewe unanihurumia mimi?Nakuhurumia sababu inaonyesha huwa unalishwa maneno kuwa kule ni waislamu swala tano video hiyo hapo jionee mwenyewe
Kwani DRC wamechimba bila vibali? Kwahyo Total na Exxon Mobil hawanaga vibali kwenye operations zao huko DRC? Nmekuelezea hapo Total ilikua inavuna 40% na Zim-Angola 40% huku DRC ikivuna 20% kwa gold huko Katanga mind you huo mkataba haukuwa maeneo ya waasi na ulikua wa miaka ishirini tokea 1998!!Vita ya Savimbi ilikuwa ideological kuliko maslahi? Kwamba hakuna aliyetaka kunufaika na almasi ya Angola?
Hapa Tanzania kulaumu kuwa tunapata 30% corporate tax ni kutaka kuleta lawama zisizofaa. Tufanye nini wakati hatuna mtaji? Unadhani kuikamata dhahabu ya Bulyanhulu bila mtaji ni rahisi. Lakini muwekezaji anakuja kuchimba kwa kupata vibari na taifa linanufaika. Tofauti na kufanyiwa ubabe wa kibeberu.
Drc waaasi wanateka maeneo na kuchimba madini kwa manufaa yao huku wakisaidiwa na mabeberu. Ndio maana ili Kabila apate hata kiduchu aliamua apate backup ya Zim na Angola.
Kwani DRC wamechimba bila vibali? Kwahyo Total na Exxon Mobil hawanaga vibali kwenye operations zao huko DRC? Nmekuelezea hapo Total ilikua inavuna 40% na Zim-Angola 40% huku DRC ikivuna 20% kwa gold huko Katanga mind you huo mkataba haukuwa maeneo ya waasi na ulikua wa miaka ishirini tokea 1998!!
Sasa kma wanaweza faidika kwa mikataba ya kipuuzi hivyo wanahitaji vita ili iweje? Hvi kwa mikataba ile ya ACACIA walihitaji walete waasi Tz? Ama kule mtwara walihitaji waasi wkt mikataba iliyokua drafted Rais mwenye anakiri tushaporwa gesi!! Ssa kulikua na haja ya kupeleka waasi kibiti?
Jmn kma kuna vita ni washindani wa hizo kampuni kutaka kuhujumiana ila sio walete waasi kwa ajili ya kupambana na TZ ni kujipa sifa tusizostahili
Nyie ndio mna focus kwenye madini tu ila Kumekuwepo na waasi kaskazini mwa Uganda miaka zaidi ya 30 sasa je kuna dhahabu? Vipi kule kasese kuna madini gani? Hapo tu Rwanda na Burundi kumekuwepo vikundi vya waasi kibao tokea 1972 je kuna madini gani? Darfur kuna mafuta yanachimbwa by 2004?Tusaidie kufahamu chimbuko la hivyo vikundi vya waasi kuvamia maeneo yenye utajiri wa gesi, mafuta, almasi n.k.
Hofu ya mabeberu ni siasa safi Africa, wao hufadhiri vikundi vya chokochoko nchi isitawalike serikali ikae ikiwaza vita, kuvamiwa wakati wowote, kununua siraha huku wao kwao wakiendelea kwa vyote bila hofu unless wamegeukana wenyewe kwa wenyewe ambayo ni ngumu na mbaya zaidi kupelekea vita kuu ya dunia.Mkuu labda mie sielewi kwamba mabeberu wanapigana na mabeberu wenzao ama waafrika? Sababu nachojua huko tyr kuna kampuni za magharibi zinachimba rasilimali sasa kwanini tena watumie waasi wkt wameshamilikishwa madini?
Unajua hata DRC wanasemaga mabeberu yanaleta vita ili wapore madini lakini cha kushangaza hata maeneo walipoondoa waasi mfano then- Katanga province walipoondoa waasi bado wenye mkataba wa kuchimba walikuwa Total!! Same to Cabinda walitimua waasi ila bado wanaochimba off shore mafuta ni mabeberu!!
So mnaposema mabeberu wanaleta vita ili wachimbe almasi naomba mtusaidie je kukiwa na amani kma Tanzania ni nani anayechimba madini tena kwa mikataba ya kiwizi kabisa? Ama kukiwa na vita inawaongezea nni ambacho wanakikosa kukiwa na amani?
Cc Gerald .M Magembe