Mna Safari Ndefu Sana Kama Mmetoa Sare Na Kikosi cha Pili Cha Ismaily SC

😬😬😬 Daaah haya yote kayaleta john boko kwa kukosa magoli last season
 
Umeshasahau kuwa timu ulizozitajwa hapo zipo top 20 Africa... Nyie mnajifananisha hapo wakati Yanga mko wa 80 Africa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Inasikitisha sana
 
Usipanick, twende taratibu tu mwisho wa siku utakuja kuelewa context ya swali langu. Ofcourse unless you don't wan't to be ignored, we've to consider anything you acomment on academical issues as a seruous phenomena.

Haya nitajie jina la huyo mtaalamu wa physiology aliyepo Yanga Sc..."mtaalamu wa physiology" , na mimi nikutajie la yule aliyepo Simba Sc , halafu unambie hizo habari za kwamba Simba Sc umezitoa wapi.
 
We haina hata mtaalam wa physiology?
Hivi mazoezi ya siku mbili yanaleta injury eeeeh?
UJUAJI haufai wana yanga wenzangu.
 

Kila kiti vululu vululu yaani [emoji23][emoji23]
 
Umeshasahau kuwa timu ulizozitajwa hapo zipo top 20 Africa... Nyie mnajifananisha hapo wakati Yanga mko wa 80 Africa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Inasikitisha sana

Tuonyeshe mahala ambapo panaonyesha RED ARROWS FC wako ndani ya 20 bora afrika.
 
We haina hata mtaalam wa physiology?
Hivi mazoezi ya siku mbili yanaleta injury eeeeh?
UJUAJI haufai wana yanga wenzangu.

Yuko sawa kabisa.

Ndio maana kabla mchezaji ajaingia uwanjani ni lazima afanye warming up.

Warming up inapunguza uwezekano wa kupata unneccesary injuries.

Likizo ya muda mrefu inahitaji warming up ya muda mrefu pia.
 
Mnyama alishacheza na watoto wa Kocha Meky Mexime (Kambiaso) na wakafungana 2-2 hivyo wala hatushangai iwapo walicheza na watoto wa Ismailia na wakafungana 1-1. Ni mechi za mazoezi hizo, Si ajabu hata golini alidaka kipa wa akiba Ally Slim

Kocha mpya wa Simba amepewa nafasi ya kuangalia wachezaji wa kuwatema hivyo anajua anachokitafuta kwenye hizo mechi
 
Umeshasahau kuwa timu ulizozitajwa hapo zipo top 20 Africa... Nyie mnajifananisha hapo wakati Yanga mko wa 80 Africa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Inasikitisha sana
Kila nchi ina bingwa wake,Simba ni mabingwa wa nini?
 
Kitu nilichogundua kuwa mashabiki wengi wa yanga ni hamnazo ni kwamba timu imeweka Oda sehem ya kufikia Na gharama by then inaghairi Safari siku nne kabla ya kuondoka wale wanataka yanga iilipie gharama zote walizokubaliana kwa kuwapotezea muda pengne walikuwa Na Oda ya timu nyingine timu imeingia hasara halafu kiongozi anakuja Na hoja dhaifu kabisa je hizo ratiba hawakuwa wanazijua kabla au uzezeta???
 
Pia ni uzezeta kuweka kambi nje ya nchi wakati mabingwa wote wa nchi mbalimbali na timu kubwa zinaweka kambi ndani ya nchi yao

Kwa kugundua hilo tukawa tumewalipa pesa yao kwasababu Yanga kwasasa tuna pesa nyingi mpk tunakosa matumizi mengine ya kufanyia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…