mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mtakula Sana matikiti na miwa huko mmorogoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😬😬😬 Daaah haya yote kayaleta john boko kwa kukosa magoli last seasonMabingwa wa south Africa Mamelodi wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Congo TP mazembe wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Morocco Raja Casablanca wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Zambia red arrows wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Champions league Wydad wako nyumbani kwao
Mabingwa wa confederation Berkane wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Tanzania Yanga wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Mapinduzi cup wako Misri
- ENDELEENI KUDANGA
Umeshasahau kuwa timu ulizozitajwa hapo zipo top 20 Africa... Nyie mnajifananisha hapo wakati Yanga mko wa 80 Africa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Inasikitisha sanaMabingwa wa south Africa Mamelodi wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Congo TP mazembe wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Morocco Raja Casablanca wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Zambia red arrows wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Champions league Wydad wako nyumbani kwao
Mabingwa wa confederation Berkane wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Tanzania Yanga wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Mapinduzi cup wako Misri
- ENDELEENI KUDANGA
Usipanick, twende taratibu tu mwisho wa siku utakuja kuelewa context ya swali langu. Ofcourse unless you don't wan't to be ignored, we've to consider anything you acomment on academical issues as a seruous phenomena.the scientific study of functions and mechanics in a living system.As a subdiscipline of biology, physiology focuses on how organism, organ system, individual organs, cells, and bio molecules carry out the chemical and physical functions in a living system
the movement of oxygen from the outside environment to the cells within tissue, and the removal of carbon dioxide in the opposite direction that's to the environment.
Au umesahau kama timu yenu ilisajili mtaalaum wa masuala ya respiratory process na akafukuzwa kabla ya msimu kuisha
Na timu yenu uwanjani wachezaji wengi hawana pumzi ya kucheza dakika 90
Katafuteni haraka huyo mtaalamu wa physiology (Respiration)
NB:Never take anything seriously in this platform
Anonymous isikufanye ukajiona bora sana kuliko wengine humu ndani
We haina hata mtaalam wa physiology?Mazoezi ya siku 2 ,timu inacheza mechi ya kirafiki, wachezaji wametoka mapumziko ni hatari kwa afya zao, ni rahisi kupata injury tena ya muda mrefu
Tukumbuke timu ipo pre season ila haina kocha wa viungo,haina kocha wa magolikipa na wala haina mtaalamu wa physiology
Mazoezi ya siku 2 ,timu inacheza mechi ya kirafiki, wachezaji wametoka mapumziko ni hatari kwa afya zao, ni rahisi kupata injury tena ya muda mrefu
Tukumbuke timu ipo pre season ila haina kocha wa viungo,haina kocha wa magolikipa na wala haina mtaalamu wa physiology
Umeshasahau kuwa timu ulizozitajwa hapo zipo top 20 Africa... Nyie mnajifananisha hapo wakati Yanga mko wa 80 Africa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Inasikitisha sana
We haina hata mtaalam wa physiology?
Hivi mazoezi ya siku mbili yanaleta injury eeeeh?
UJUAJI haufai wana yanga wenzangu.
Kabla hatujaenda mbali tafuta umuhimu wa warm upWe haina hata mtaalam wa physiology?
Hivi mazoezi ya siku mbili yanaleta injury eeeeh?
UJUAJI haufai wana yanga wenzangu.
Kila nchi ina bingwa wake,Simba ni mabingwa wa nini?Umeshasahau kuwa timu ulizozitajwa hapo zipo top 20 Africa... Nyie mnajifananisha hapo wakati Yanga mko wa 80 Africa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Inasikitisha sana
J😬😬😬 Daaah haya yote kayaleta john boko kwa kukosa magoli last season
Kitu nilichogundua kuwa mashabiki wengi wa yanga ni hamnazo ni kwamba timu imeweka Oda sehem ya kufikia Na gharama by then inaghairi Safari siku nne kabla ya kuondoka wale wanataka yanga iilipie gharama zote walizokubaliana kwa kuwapotezea muda pengne walikuwa Na Oda ya timu nyingine timu imeingia hasara halafu kiongozi anakuja Na hoja dhaifu kabisa je hizo ratiba hawakuwa wanazijua kabla au uzezeta???Mabingwa wa south Africa Mamelodi wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Congo TP mazembe wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Morocco Raja Casablanca wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Zambia red arrows wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Champions league Wydad wako nyumbani kwao
Mabingwa wa confederation Berkane wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Tanzania Yanga wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Mapinduzi cup wako Misri
- ENDELEENI KUDANGA
Pia ni uzezeta kuweka kambi nje ya nchi wakati mabingwa wote wa nchi mbalimbali na timu kubwa zinaweka kambi ndani ya nchi yaoKitu nilichogundua kuwa mashabiki wengi wa yanga ni hamnazo ni kwamba timu imeweka Oda sehem ya kufikia Na gharama by then inaghairi Safari siku nne kabla ya kuondoka wale wanataka yanga iilipie gharama zote walizokubaliana kwa kuwapotezea muda pengne walikuwa Na Oda ya timu nyingine timu imeingia hasara halafu kiongozi anakuja Na hoja dhaifu kabisa je hizo ratiba hawakuwa wanazijua kabla au uzezeta???
Kutakataka ni kutakata tuu haijalishi umeoga na sabuni ipi hahahhahahKwa hiyo mtani leo OKRAH ametakata dhidi ya watoto wa U20 wa ISMAILY SC?
Aibu naona mimi. [emoji23][emoji23]