Mna Safari Ndefu Sana Kama Mmetoa Sare Na Kikosi cha Pili Cha Ismaily SC

Nyie mmewafunga bao 100-0 matombo bush stars ki kaweka goli 89 pekee akeeeeee
 

Sasa mbona mlitaka kwenda turkey [emoji1250]??au ndo sizitaki mbichi hizi
 
Pigeni kelele ila mwakani Kuna Africa super league mtaishia kupokea timu za wageni wakati wa kimataifa halisi wakifanya yao.
 
Mwache huyo jinsia ya tatu asikuumize kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…