Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kwani uongo ?Ata kwambia mapinduzi cup [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uongo ?Ata kwambia mapinduzi cup [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mabingwa wa south Africa Mamelodi wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Congo TP mazembe wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Morocco Raja Casablanca wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Zambia red arrows wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Champions league Wydad wako nyumbani kwao
Mabingwa wa confederation Berkane wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Tanzania Yanga wako nyumbani kwao
Mabingwa wa Mapinduzi cup wako Misri
- ENDELEENI KUDANGA
Mwache huyo jinsia ya tatu asikuumize kichwa.Wachana na mnyama wewe..!!
Simba SC walikutana siku nne zilizopita, wakapanda ndege kwenda Misri, mazoezi siku mbili, game ya kirafiki wakapata draw na Okrah akaweka, hapo kuna wachezaji wapya hata bado hawajazoeana na wenzao...
Hao wachezaji wa Ismailia angekuwa hawajui wasingesajiliwa, wacha kuruka ruka mtoto, na lile kosi la Simba SC bado halijapata chemistry, wakikaa pamoja mwezi wale wakazoeana nawapa pole zangu mapema .