Mna uhakika Boni Yai bado ni CHADEMA?

Mishi Zawa

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2015
Posts
1,673
Reaction score
2,575
Habari Wakuu, jamaa amekua kimya na alikuwa mtu wa Mbowe kindakindaki kipindi cha uchaguzi mkuu wa CHADEMA.

Amekua kimya sana na hili vuguvugu la CHAUMMA anaweza kua ametema bungo kamfata Mwamba kiazi. Yote yanawezekana maana kumwamini mwanisiasa imekua ngumu sana.
 
Boniface Jacob akipata mshauri mzuri, anaweza kupata jimbo la Ubungo kama akienda ACT. Sioni wa kumzuia maana wafuasi wake wako palepale. Ni yeye tu atoke vipi? Hata CHAUMMA pouwa tu.

Kwenye siasa usikariri misimamo, bali kuwa flexible. Siasa haina maadui wa kudumu bali masilahi ya kudumu
 
Unaruhusiwa kumwita chaumwa kwa wivu wako,boni was born kuwapigeni spana.
 
Sawa tuna aende sisi tupo hadi mwisho hatupoi NRNE
 
Kwa bahati mbaya atalenga kura za wafuasi wa upinzani hasa cdm. Tatizo ni moja, cdm ni imani sio rahisi wafuasi wake kushiriki kwenye uchaguzi wa maigizo. Hivyo atapoteza kihalali kwa ccm kwani ACT ina wafuasi wachache.
 
Mwanaume yoyote mwenye kujinenepedha huwa hana akili ndiyo maana mkapa alikuwa ovyo
 
Labda CCM nje ya Chadema hata kuwe na fair hawezi kutoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…