Habari Wakuu, jamaa amekua kimya na alikuwa mtu wa Mbowe kindakindaki kipindi cha uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Amekua kimya sana na hili vuguvugu la CHAUMMA anaweza kua ametema bungo kamfata Mwamba kiazi. Yote yanawezekana maana kumwamini mwanisiasa imekua ngumu sana.
Ninatunza hii post, ila akihama usije kuanza kumchambaKwa bahati mbaya atalenga kura za wafuasi wa upinzani hasa cdm. Tatizo ni moja, cdm ni imani sio rahisi wafuasi wake kushiriki kwenye uchaguzi wa maigizo. Hivyo atapoteza kihalali kwa ccm kwani ACT ina wafuasi wachache.
Ni wapi nimesema hawezi kuhama, ama hujasoma na kuelewa nilichoandika?Ninatunza hii post, ila akihama usije kuanza kumchamba
SIASA IS A STRATEGIC SCIENCE, WELL ORGANISED FORMULAE, NA SIO CHAOS & NOISES & HARAKATI KICHWA FUNZA
N.B,KAZI NGUMU YA KUSIMAMISHA CHAMA IMARA ALIIWEZA MBOWE.
akiwa kimya tabu akiongea tabu,afanye nini?Habari Wakuu, jamaa amekua kimya na alikuwa mtu wa Mbowe kindakindaki kipindi cha uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Amekua kimya sana na hili vuguvugu la CHAUMMA anaweza kua ametema bungo kamfata Mwamba kiazi. Yote yanawezekana maana kumwamini mwanisiasa imekua ngumu sana.
Chama kimepigwa pini mpaka kesi ya msingi iishe,kiongozi yoyote kusimama kwa niaba ya chama na kuongea lolote,ni kosa la jinai./ni kosa la kumuweka mtu lupango!Tofautisha udalali wa siasa na kusimamisha chama. Mbowe alikuwa dalali, umesahau kidogo akiue chama kwa kumleta Lowassa na kwenda Ikulu kumsujudia Samiah?. Subirini hukumu ya Tarehe 18 August.
Kwa tume gani ya uchaguzi mkuu?, hivi mmesahau mwaka jana kulikuwa na uchaguzi wa serikali za mitaa, nini kilitokea?, ishu sio kugombea tu, swala ni msimamizi wa uchaguzi ni CCM wenyewe, so kwa huruma yao wao ndo watajua wampe nani kwa upande wa upinzani. Uchaguzi ni geresha tu.Boniface Jacob akipata mshauri mzuri, anaweza kupata jimbo la Ubungo kama akienda ACT. Sioni wa kumzuia maana wafuasi wake wako palepale. Ni yeye tu atoke vipi? Hata CHAUMMA pouwa tu.
Kwenye siasa usikariri misimamo, bali kuwa flexible. Siasa haina maadui wa kudumu bali masilahi ya kudumu
kwa hiyo shida ni kupata Jimbo?Boniface Jacob akipata mshauri mzuri, anaweza kupata jimbo la Ubungo kama akienda ACT. Sioni wa kumzuia maana wafuasi wake wako palepale. Ni yeye tu atoke vipi? Hata CHAUMMA pouwa tu.
Kwenye siasa usikariri misimamo, bali kuwa flexible. Siasa haina maadui wa kudumu bali masilahi ya kudumu
Itakuwa jana bila shaka,swali hapo ni je?kwa usafiri gani?Mjini umefika lini?