Pre GE2025 Mna uhakika CHADEMA ikishika dola italeta utofauti wowote?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lazima kama ni watu wapatikane wengine kutoka hawa tunaowajua mimi siamini mtu kama Mbowe yule awe kiongozi kwenye nchi anatuuza wote bora CCM.
Chadema ni chama dhaifu sana kisichokua na misingi wala uwezo kabisa kwa ufupi Tanzania hamna kabisa upinzani hao wote njaa tu
 
Nilikuwa nawaza hapa kwamba CCM ndio chanzo cha matatizo yote haya, lakini hapana wananchi wanaoikalia Tanzania ndio chanzo cha mfumo mbovu wa siasa zilizopo nchini.

Mohamed Kawaida , Tulia Akson nk. (Tunaowaona kama wajinga) , wanaweza kuwa wapinzani wakubwa ikiwa Chadema ingekuwa madarakani , fikiria kuhusu Mchungaji Peter Msigwa.

Kenya kwa mfano , migogoro na lawama kwa viongozi haijawahi kuisha mbali na vyama tofauti tofauti kushika dola. tofauti na kwetu Chama kimoja , lakini Kenya ni political stable kuliko Tanzania kwasababu ya wananchi wake.

Freeman Mbowe angekuwepo Nafasi aliyopo Samia , huenda Samia, au Majaliwa wangekuwa wapinzani pia.

Jitihada kubwa ingewekwa kwenye kuelimisha wananchi kuhusu masuala mbalimbali yanayowahusu na kuwaonyesha nguvu yao kwanza,
Nachokiona mimi ni kwamba Serikali itaendelea kufanya inachokitaka na kuendelea kuwepo , tutalia kwenye tweets online nk. baada ya siku tunarudi hatua tuliyotoka!. nini kifanyike?.
Unafikiri tuendelee na mfumo wa chama kimoja kama ilivyo sasa? Hamjui faida ya kuwa na upinzani imara. Hata kama Kenya bado kuna lawama lakini si unaona jinsi demokrasia yao ilivyo na nguvu kulinganisha na ya kwetu? Hapa Tanzania msipopenda tozo za hovyo mnathubutu kuandamana? Wajinga wa nchi hii mpaka mje kujua umuhimu wa upinzani imara itakuwa muda mrefu umepita.
 
Nilikuwa nawaza hapa kwamba CCM ndio chanzo cha matatizo yote haya, lakini hapana wananchi wanaoikalia Tanzania ndio chanzo cha mfumo mbovu wa siasa zilizopo nchini.

Mohamed Kawaida , Tulia Akson nk. (Tunaowaona kama wajinga) , wanaweza kuwa wapinzani wakubwa ikiwa Chadema ingekuwa madarakani , fikiria kuhusu Mchungaji Peter Msigwa.

Kenya kwa mfano , migogoro na lawama kwa viongozi haijawahi kuisha mbali na vyama tofauti tofauti kushika dola. tofauti na kwetu Chama kimoja , lakini Kenya ni political stable kuliko Tanzania kwasababu ya wananchi wake.

Freeman Mbowe angekuwepo Nafasi aliyopo Samia , huenda Samia, au Majaliwa wangekuwa wapinzani pia.

Jitihada kubwa ingewekwa kwenye kuelimisha wananchi kuhusu masuala mbalimbali yanayowahusu na kuwaonyesha nguvu yao kwanza,
Nachokiona mimi ni kwamba Serikali itaendelea kufanya inachokitaka na kuendelea kuwepo , tutalia kwenye tweets online nk. baada ya siku tunarudi hatua tuliyotoka!. nini kifanyike?.
Hivi,hao CHADEMA siyo Watanzania wanaojua kero za nchi yao?
 
Na wewe unauhakika sisiemu wakiendelea kushika dola kuna jipya watalifanya? Tuachane na fear of unknown
 
itafanya nchi ichangamke zaidi hatuwezi ongozwa na chama kimoja toka uhuru tukitegemea mabadiliko hasa yakiuchumi ,kisiasa na kijamii ni uongo tutegemee ccm itubadilishe hatukatai wazee wa ccm vilikua vyuma kweli ila wamekuja tengeneza kizazi weak sana kuelewa siasa ni nini mwisho wa siku wanakuja tumia nguvu zaidi kuliko akili mfano kuna haja gani ya asilimia zaidi ya 95% bungeni kuwa chama tawala ungali hawasaidii kihoja na kimaslahiii (wote tunajua walivyoingia) kutofata katiba ungali katiba yetu ni mbovu, nk kimsingi kama taifa inabidi ifanyike overhaul ya maana madaraka yasiwe ya chama kimoja kinajisahau jumlisha mizaha isiokuwa na tija kwa taifa baada ya miaka 25 tutakuwa wapi?
Tatizo sio katiba tatizo ni watu.

Jiulize leo jee una kizazi chenye kutawala kiuledi na kwa haki ukikipa uongozi? jibu hakuna leo hii ww mwanao akipata ajira tu usia utakaompa ni kuwa akipata nafasi atumie jee unategemea mtu huyo akiwa kiongozi anakuwaje?

Ni kujidanganya tu kuamini sugu na mbowe au mnyika kuwa wataweza kubadili au kufuta machungu ya watanzania ni uongo sbb udongo wao ni ule ule yote wanayopigania si kwa ajili ya kuipenda nchi au kuwapenda wananchi lah sbb wao hawapo kwenye sinia lile lenye nyama.

China ina chama kimoja ila imeendelea na inaendelea sisi tuna vyama vingi kila siku tunarudi nyuma jee umewahi kujiuliza tatizo ni nini?

China chama kimoja ila viongozi wote wapo kwa ajili yakuijenga china moja.

Sisi tuna vyama vingi ila viongozi wote wapo kwa ajili ya matumbo yao na kusukuma ajenda za mabwana zao na sio wananchi
 
Mimi sina mwelekeo wa chama gani...ila sioni tatizo kwa chama kingine kuongoza nchi..yani tuweke mitazamo mingine shida nini..mana ccm tangu uhuru..hakuna jipya..nadhani wangekaa bench japo mhura mmoja tu wangekuja na uzuri tofauti..uongozi wa nchi ni mfumo tu..yawepo maboresho ktk katiba na mengine mengine..akiwa Rais atokae chama kidogo bado anaweza tawala kwa weledi wake kutumia katiba nzuri, watanzania wazuri wa kumuunga mkono wapo wamekaa kimya huku uraiani..ataweka mfumo tu namna ya kuwapata waitumikie nchi yao
 
Hapana, Lissu na Mbowe wote madikteta wa kutupwa. Mbowe kakosolewa kidogo na Msigwa, kakimbilia Mahakamani kumziba mdomo, sasa mtu wa hivi ndio ataheshimu haki ya uhuru wa kuongea? Lissu yeye huwa analazimisha kuvunja sheria ili mambo yale yaende, hiyu si atavunja hata sheria zinazolinda haki za watu?
 
Nilikuwa nawaza hapa kwamba CCM ndio chanzo cha matatizo yote haya, lakini hapana wananchi wanaoikalia Tanzania ndio chanzo cha mfumo mbovu wa siasa zilizopo nchini.

Mohamed Kawaida, Tulia Akson nk. (Tunaowaona kama wajinga), wanaweza kuwa wapinzani wakubwa ikiwa Chadema ingekuwa madarakani, fikiria kuhusu Mchungaji Peter Msigwa.

Kenya kwa mfano, migogoro na lawama kwa viongozi haijawahi kuisha mbali na vyama tofauti tofauti kushika dola. Tofauti na kwetu Chama kimoja, lakini Kenya ni political stable kuliko Tanzania kwasababu ya wananchi wake.

Freeman Mbowe angekuwepo Nafasi aliyopo Samia, huenda Samia, au Majaliwa wangekuwa wapinzani pia.

Jitihada kubwa ingewekwa kwenye kuelimisha wananchi kuhusu masuala mbalimbali yanayowahusu na kuwaonyesha nguvu yao kwanza.

Nachokiona mimi ni kwamba Serikali itaendelea kufanya inachokitaka na kuendelea kuwepo, tutalia kwenye tweets online nk. baada ya siku tunarudi hatua tuliyotoka! Nini kifanyike?
Ukila kila siku dagaa mwisho wake unakizikinai jaribu basi kubadilisha mlo sio guarantee ule mlo mmoja siku zote haikuandikwa popote na isitoshe wao wapumzike kidogo waifeel na wao hali ya kuwa chini ya chama kingine
 
Nilikuwa nawaza hapa kwamba CCM ndio chanzo cha matatizo yote haya, lakini hapana wananchi wanaoikalia Tanzania ndio chanzo cha mfumo mbovu wa siasa zilizopo nchini.

Mohamed Kawaida, Tulia Akson nk. (Tunaowaona kama wajinga), wanaweza kuwa wapinzani wakubwa ikiwa Chadema ingekuwa madarakani, fikiria kuhusu Mchungaji Peter Msigwa.

Kenya kwa mfano, migogoro na lawama kwa viongozi haijawahi kuisha mbali na vyama tofauti tofauti kushika dola. Tofauti na kwetu Chama kimoja, lakini Kenya ni political stable kuliko Tanzania kwasababu ya wananchi wake.

Freeman Mbowe angekuwepo Nafasi aliyopo Samia, huenda Samia, au Majaliwa wangekuwa wapinzani pia.

Jitihada kubwa ingewekwa kwenye kuelimisha wananchi kuhusu masuala mbalimbali yanayowahusu na kuwaonyesha nguvu yao kwanza.

Nachokiona mimi ni kwamba Serikali itaendelea kufanya inachokitaka na kuendelea kuwepo, tutalia kwenye tweets online nk. baada ya siku tunarudi hatua tuliyotoka! Nini kifanyike?
Ilishajibambanua niyatofauti na hivyo matunda yake ni mwendo wa kuanguliwa kwa mawe sana,mixer marungu na fimbo.
 
Issue siyo kubadilisha Viongozi/ Wanasiasa Suala ni Kubadilisha Mindset za jamii (UELEWA).....Wanasiasa hawa lao moja....(KUTAFUNA NCHI). Walioko Upinzani walikuwa CCM, waliopo CCM walikuwa UPINZANI....Anayeitwa FISADI leo huko CCM, kesho atapokelewa UPINZANI....Anayeitwa KAMANDA leo huko UPINZANI kesho atakutwa majukwaani akiwananga MAKAMANDA wenzake. Mind your business....
Na wajinga kama nyie wa MIND YOUR BUSINESS ndo tatizo kubwa au mtaji wa ccm
 
Back
Top Bottom