GE2025 Mna uhakika hawa wasanii wetu ni kioo cha jamii kweli?

GE2025 Mna uhakika hawa wasanii wetu ni kioo cha jamii kweli?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Hawa wasanii bwana, vituko haviishi! Badala ya kusimama kidete na kuwa sauti ya wananchi, wao wameamua kuendeleza uchawa na kujipendekeza bila aibu.

Angalia sasa huyu Steve Nyerere, alivyojigeuza kuwa mwananenguaji – kweli fedheha tupu!

 
Msanii ni binaadamu tu na yeye anamapungufu yake na yeye pia ana mahitaji yake

Nazan tuache fikla za kutaka wasanii wawe km vle tunataka wao pia ni watu na wana maitaji yao na wana shida zao na wanatafuta ni wap watatibu shida zao
 
Wasanii Watanzania sio vioo vya Jamii, Bali ni vyoo vya jamii
 
Back
Top Bottom