W Wild Flower JF-Expert Member Joined Jul 20, 2023 Posts 977 Reaction score 1,966 Oct 1, 2025 #1 Hawa wasanii bwana, vituko haviishi! Badala ya kusimama kidete na kuwa sauti ya wananchi, wao wameamua kuendeleza uchawa na kujipendekeza bila aibu. Angalia sasa huyu Steve Nyerere, alivyojigeuza kuwa mwananenguaji – kweli fedheha tupu! Your browser is not able to display this video.
Hawa wasanii bwana, vituko haviishi! Badala ya kusimama kidete na kuwa sauti ya wananchi, wao wameamua kuendeleza uchawa na kujipendekeza bila aibu. Angalia sasa huyu Steve Nyerere, alivyojigeuza kuwa mwananenguaji – kweli fedheha tupu! Your browser is not able to display this video.
Hidden Diamond JF-Expert Member Joined Jan 31, 2024 Posts 260 Reaction score 481 Oct 1, 2025 #2 Yote machawa hayo hayana akili
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,227 Reaction score 98,761 Oct 1, 2025 #3 "Ni mimi msanii x2 ,kioo cha jamii ,mimi noana mbalix2 kwa darubini kali" - Ditto
RoDrick RaY JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,806 Reaction score 2,723 Oct 1, 2025 #4 Msanii ni binaadamu tu na yeye anamapungufu yake na yeye pia ana mahitaji yake Nazan tuache fikla za kutaka wasanii wawe km vle tunataka wao pia ni watu na wana maitaji yao na wana shida zao na wanatafuta ni wap watatibu shida zao
Msanii ni binaadamu tu na yeye anamapungufu yake na yeye pia ana mahitaji yake Nazan tuache fikla za kutaka wasanii wawe km vle tunataka wao pia ni watu na wana maitaji yao na wana shida zao na wanatafuta ni wap watatibu shida zao
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,871 Reaction score 39,881 Oct 1, 2025 #5 Wasanii Watanzania sio vioo vya Jamii, Bali ni vyoo vya jamii
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Oct 1, 2025 #6 Hakuna kioo hapo, ni uchafuzi wa jamii.