GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tunawatakia Kila la Kheri Kidato cha Nne kwenye Mtihani wa Taifa 🙏
Chanzo: dawasatz
Halafu bado tu CEO Wao ( Wenu ) Tumbo Tumbo SIMTANK anapata hadi Nguvu za kwenda Kumtembelea Naibu Spika wa Bunge Zungu Ofisi za Bunge Dar es Salaam na mpaka kupiga na Nne kabisa.
Kwa Hasira nyingi nilizonazo za huu Mgawo wa hovyo hovyo wa Maji hasa Eneo Kubwa la Mkoa wa Dar es Salaam ngojea tu nisikilize Wimbo wangu mpya niupendao Rhumba ( wa Taratibu ) wa Fally Ipupa 'Decaprio' uitwao 'Se Yo' ili nifarijike na zipungue pia.