Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
MNAACHA KUFUNGA MAFISADI NA WANAODHULUMU WANANCHI MNATAKA KUFUÑGA k X (Twitter) ACHENI UNAFIKI.
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Ni kweli ushoga ni mbaya hilo hata sisi Watibeli tunajua na tunaupinga.
Lakini hiyo haimaanishi kuwa ni mbaya zaidi kuliko ufisadi na dhulma.
Kihistoria dunia katika dini Dhambi kubwa iliyokuwa inasababisha dunia iangamizwe ni Dhambi ya ufisadi na dhulma. Ufisadi na dhulma ndio kiini cha Adhabu ya kutisha ya Gharika kipindi cha Núhu. Moto wa Sodoma na Gomorrah pia chanzo chake ni dhulma na ufisadi.
Kwa Mungu Fisadi na mdhulmati ni mbaya zaidi kuliko hata hao mashoga. Jitu lolote ambalo ni Fisadi na lenye kudhulumu ni adui namba moja wa Mungu. Kwa kile kiitwacho HAKI.
Ushoga hauna tofauti kubwa na uzinzi hata hivyo ushoga ni kipengele kimoja wapo cha Uzinzi. Tofauti iliyopo ni kuwa kwenye ushoga kúnaenda mbali zaidi na kufanya kinyume na maumbile hiyo ndio tafsiri ya ushoga. Ufiraji na kufirwa ni aina ya ushoga uliopo kwenye zinaa.
Kupiga punyeto yaani kujifanyia ngono mwenyewe ni ushoga pia. Kusaga na kusagwa ni ushoga pia. Kulala na mnyama ni ushoga pia. Kununua mdoli au sex machine ni ushoga pia. Utakuja kugundua Watu wengi ni mashoga bila ya wao kujua.
Watu wanafiki ambayo pia ni Dhambi mbaya hupenda kutoa kibanzi kutoka katika macho ya wengine ilhali wao wanaboriti katika macho yao.
Ubaya wa ufisadi na dhulma hufanywa na Watu waliopewa nafasi ya juu. Kama mamlaka, cheo, ñguvu uzuri au utajiri. Ndio maana Mungu hapendi dhulma kwa sababu ni kama alikupa baraka ambayo unaitumia kuonea na kunyanyasa waliowadogo.
Dhulma inaanzia ñgazi ya familia. Kwanza inaanza kwa Baba ambaye ni mtawala kudhulumu hali za Mama ambaye ni mkewe. Kisha wazazi kudhulumu watoto.
Familia yoyote yenye dhulma ndio chanzo cha viongozi mafisadi na wadhulumaji. Kiongozi hawezi kuwa anadhulumu Watu kama wazazi wake hawakumfundisha kudhulumu. Dhuluma huanzia kwa wazazi na walezi.
Mzazi anayejivunia dhulma humfundisha na mtoto. Dhulma ni matokeo ya ubinafsi uliopitiliza. Hii ni tofauti na ushoga na uzinzi. Ushoga unahusu hiyari ya Watu wawili kuamua kumuasi Mungu na jamii Lakini Wizi na dhulma inahusu mtu mmoja kutumia hiyari yake kumwonea mtu mwingine. Uonevu.
Dhulma ndio hufanya nchi kuwa Maskini. Dhulma ndio huleta vita duniani. Mapinduzi na mauaji yote unayoyaona duniani chanzo chake kikubwa ni dhulma.
Huko mahakamani mambo huweza kukuendea mrama ikiwa watumishi wa Mahakama ni Watu wadhulma. Uvccm eleweni kuwa tatizo la nchi hii msingi wake mkuu ni dhulma ambayo viongozi wengi wanafanyia wananchi na sio hayo mambo ya ushoga.
Kemeeni dhulma kuanzia kwenye mambo ya kisiasa, kijamii, kiutamaduni na kidini. Huko kwenye dini dhulma imekithiri. Na moja ya dalili kuwa viongozi wa dini pia ni wadhulumaji ni kushindwa kukemea mafisadi na Viongozi wa kisiasa Hivi mchungaji au Sheikhe unawezaje kufundisha neno of Mungu na kuacha kukemea wadhulumaji. Neno la Mungu ni kuhubiri haki. Kuhubiri haki ni kukemea dhulma na wanaóifanya.
Ni mtu mnafiki pekee ambaye atajifanya anapinga waovu na wahalifu wengine na kuacha mafisadi na wadhulumaji wa haki za wanyonge.
Acha nipumzike sasa.
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato.
Ijumaa Kareem.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Pia soma