figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kufunga kizazi kwa matatizo au Ugonjwa ni sawa. Ila kifunga uzazi kisa hutaki kuzaa si sawaMbona unahukumu? Kwa maoni yako wewe si sawa kufunga kizazi japo wizarabyanafya inaruhusu na inatoa muongozo,
Sasa kwa maoni yako wewe
- ni sawa kutumia condom?
-ninsawa kutumia njia za kupanga uzazi?
-ni sawa kupiga mahesabu kwamba "nifanye mapenzi, lakini nisipate mimba?"
-ni sawa kwa mtu mwenyw magonjwa kama Hiv na mengine ambayo yanaihaji uangalizi maalum lasivyo anaweza kumzaa mtoto mwenye shida au kifo?
-ni sawa kufanya mapenzi bila kutarajia
mtoto?
_tendo la ndoa limeletwa ili kufurahia tendo au kuzaa watoto?
Ni sawa kuendelea kuzaa hata kama umetimiza idadi ya watoto uliokusidia?
-"kama hutaki mtoto no sex ever' kwako ni kauli sahihi?
-nini bora kumzaa mtoto ambaye atakuja kuteseka au kutokumzaa kabisa?
Ukiacha maswala ya ugonjwa, unaona ni sawa kuhasiwa?Inategemea na sababu saa nyingine ni sababu za kiafya. Kutoa kizazi hupunguza chance ya saratani ya kizazi
Akizaa hao watoto utamlelea wewe? Kama kapata idadinya watoto anoona anaimudu atoe tu, pia kama haihatij watoto atoe tu kuliko kuja kuleta shida kwa jamii.Kufunga kizazi kwa matatizo au Ugonjwa ni sawa. Ila kifunga uzazi kisa hutaki kuzaa si sawa
Mtu ajizuie kuzaa tu. Kwani hadi utolewe kizazi jamani? Naona kama mtu anakuwa kakosa breki hadi wanamsaidia kwa kufunga kizazikwa logic yako mtu asipofunga kizazi lkn akawa na mtoto 1 au 2 ametenda dhambi kama Mkristo au Muislamu? sijaelewa unachomaanisha …
Kwani bila kutoa huwezi kujizuia kuzaa? Naona kama kutoa inatakiwa iwe hatua ya mwisho baada ya zote kushindikanaAkizaa hao watoto utamlelea wewe? Kama kapata idadinya watoto anoona anaimudu atoe tu, pia kama haihatij watoto atoe tu kuliko kuja kuleta shida kwa jamii.